The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

Kwa akili yako Ipo siku Nato wataivamia Tanzania na kuitafuta CCM mafichoni na Kuiua au Kuipeleka The Haque? Nato ndio nguvu ya Umma? JF ina mchanganyiko wa watu mbalimbali wenye elimu tofauti na uelewa tofauti!
 
Iliyobaki sana tuanze kuzungumzia somo zima la Libya kwa mustakabali wa bara la Africa. The Libyan, and for that matter the African crisis, is far from over!
 
kuua ndio njia rahisi ya kuwavunja nguvu wanaomtetea maana hawatakua tena na wanayemtetea

asante mkuu,lkn tuwe wa wazi njia nzuri ni mahakamani na sio kuua.najuwa wapo wataonipinga.NTC inaonesha wazi kuwa kama alshabab.kutoa maamuzi fasta bila kufuata sheria.
 
Don't know but the late Gaddafi had previously hinted at a serious admiration for Condoleeza. In 2007, alisema:

"I support my darling black African woman,' he said at the time. 'I admire and am very proud of the way she leans back and gives orders to the Arab leaders. ... Leezza, Leezza, Leezza. ... I love her very much."

Mwaka 2008 kama sijakosea alimtembelea Libya and once again, Gaddafi repeatedly addressed her - known as 'Condi' to her friends - as 'Leezza'.

Three years later, at Gaddafi's compound, Libyan rebels found the photo book.
article-2030186-0D9202B900000578-273_306x353.jpg
article-2030186-0D92057D00000578-417_306x353.jpg



But Qaddafi also had a slightly eerie fascination with Condi personally, even asking visitors why his "African princess" wouldn't visit him. It seems that Gaddafi was hot for Condi and other women as well. The Condi fan photo album, the all-virgin female bodyguard corps, the voluptuous Ukrainian nurses, the wife of the former president of Zanzibar.

And in 2010,Gaddafi flied Italian women to Libya for cultural yours and romance. Gaddafi was interested in romances developing between youths from Libya and Italy, according to an Italian agency. Gaddafi reportedly has high hopes that romance will spark between Clio Evans, 25, a half-English actor from Rome who has visited Libya four times, and his nephew, Ghazali: Gaddafi flies Italian women to Libya for 'cultural' tours - and romance | World news | The Guardian

1314386154726.jpg


That was your fellow African. Wakati anang'ang'ania kuwa na the United States of Africa alitaka wanaume wa Libya wawe na uhusiano wa kimapenzi na wazungu.
Thats the other side of him,the negative side.I can bet you even the leaders you admire have some wierd side of them.Tambua pia wengine hamtumfagilii maisha yake personally.Ni msimamo wake kwenye interests za taifa lake,na Libya was a successfull country in many ways.
 
Iliyobaki sana tuanze kuzungumzia somo zima la Libya kwa mustakabali wa bara la Africa. The Libyan, and for that matter the African crisis, is far from over!

Mkuu,
Hapa ungeanza basi kuzungumzia hili somo zima la Libya na huu mustakabali wa Afrika.

Colonel G. Alishasema US-NATO wakifanikiwa kuihujumu Libya basi ni vyema kwa nchi nyengine kujitaayarisha kwa kuhujumiwa pia. Sasa niambie kuna mustakabali upi hapa zaidi ya kuukubali "utumwa" kwa mara nyengine?
Hivi wananchi wa nchi ipi wanamwamko wa kupambana na US-NATO?
Gaddafi alitaka veto power kwa Afrika, hii ingepunguza makali ya US-West kupitisha maazimio ya kuzidhoofisha(vikwazo),kuzibomoa (kiziingilia kijeshi) nchi za kiafrika. Wengine wanataka tu wawe na kiti bila kura ya turufu.

Afrika imekaa at sidelines sasa ngoja jamaa watumalize tu ndio kitu kinachostahikia. Mpaka pale tutakapotia akili. We have accepted the defeat.
Au una mawazo tofauti?
 
Mkuu,
Hapa ungeanza basi kuzungumzia hili somo zima la Libya na huu mustakabali wa Afrika...
Hilo ni jukumu la yeyote yule. Nimetoa mapendekezo tu. Na nadhani hata kichwa cha hii thread kingebadilishwa na kusomeka The Libyan Crisis and Africa's options, tosha!
 
Watanzania tuna matatizo ya kusahau haraka. Huyu unayemwita shujaa wa afrika ndiye aliyeshirikiana na Dictator Idd Amin Dada kuteka ardhi ya Tanzania na kuendesha vita iliyotugharimu maisha ya wananchi na askari na kubwa zaidi ilitugharimu uchumi ambao tumeshindwa kabisa kuurejesha katika hali yake ya kabla ya vita. Huyo shujaa wako wa afrika alifadhili vita za wenyewe kwa wenyewe kwenye nchi za Liberia na Ivory coast. Naomba usiwachafue mashujaa wa kweli wa africa kwa kuwachanganya na huyu gaidi na muuaji wa waafrika wasio na hatia. $@#...****???


kaka unakumbukumu sana na hilo ni muhimu kuwakumbusha watanzania wote na hasa wazalendo wa nchi yetu
 
Kiongozi huyu comandoo alisikia pwa ikawa aliyelenga alikosea garilaka. Akaamua kutimkia kwenye culvert. Hapo alikamatwa na alijaribu kukumbia ila bahati mbaya hakusikia paa inamanisha ilimpata na mlengaji alikuwa na shabaha
 
Alisema Panya na Mende hawamtishi atawafagia nyumba hadi nyumba kwa sababu watu wake wanampenda sana na watamtetea mpaka kufa lakini jana tu alikutwa chini ya Kalvati. Mwingine (simtaji) alisema hatishwi na vyama vya msimu sijui amkiandaaje chama chake kitakaposhuhudia vyama vya msimu vikichukua nchi?
 
Kiongozi huyu comandoo alisikia pwa ikawa aliyelenga alikosea garilaka. Akaamua kutimkia kwenye culvert. Hapo alikamatwa na alijaribu kukumbia ila bahati mbaya hakusikia paa inamanisha ilimpata na mlengaji alikuwa na shabaha
Haaaaahahahaaaaa yaani umeniacha hoi sana, mimi nilizani unataarifa za maana kumbe unatuletea hadithi za kwa Mtogole!. Kazi kweli kweli.
 
mohhamed al bibi a libyan national hero, huyu sharobaro lazima alikuwa anamwambia 'mikono juu maaaaan' gadafi maaaan mi nakukill maaaan
 

Attachments

  • mohhamed al bibi a libyan national hero.jpg
    mohhamed al bibi a libyan national hero.jpg
    6.7 KB · Views: 584
Afu kitu kingine watu hawajajua kuwa waafrika weusi ndo wamekuwa targeted na hawa waasi...kama leo nimeona al-jazeera mtu mweusi amefungwa mikono kwenye mtutu wa kombora kwenye gari huku gari linatembea..lazima walimuua.
 
  • Thanks
Reactions: tz1
Kiongozi huyu comandoo alisikia pwa ikawa aliyelenga alikosea garilaka. Akaamua kutimkia kwenye culvert. Hapo alikamatwa na alijaribu kukumbia ila bahati mbaya hakusikia paa inamanisha ilimpata na mlengaji alikuwa na shabaha

Story za kwenye vijiwe vya kahawa hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom