lakini tukatae tusikatae
wapo watu ni wa siri tu by nature
hata kama hawana cha kuficha.....
lakini tukatae tusikatae
wapo watu ni wa siri tu by nature
hata kama hawana cha kuficha.....
Oh yeah..watu wa aina hiyo wapo. Halafu watu wa aina hiyo hunikera sana.
why wanakukera?
Unreasonableness yao...kama hivyo ulivyosema hata kama hawana cha kuficha bado watataka kuficha tu.
but mimi nimewahi kusikia wataalamu wa saikolojia
wanadai kila mtu anahitaji privacy kwenye vitu vyake
hata watoto wadogo
mfano binti yako teenager ni 'makosa'
kuingilia privacy yake. mfano hiyo ya kutazama simu yake na kadhalika
nimesikia hata wanasheria wanazungumza hili la 'the right for privacy'
sijui ikoje hii??????/

Sasa hapo inategemea na privacy gani. Nadhani, kwa mfano, itakuwa si busara tu kuingia chumbani kwake bila kupiga hodi (hata kama nyumba ni yako). Hapo anastahili privacy.
Ikija kwenye simu, kama mimi ndiyo namlipia bill yake basi ninayo mamlaka yote ya kuikagua endapo ninahisi anafanya vitendo visivyo.
Sasa hao wanasheria wanaozungumzia right to privacy sijui wanazungumzia katika muktadha gani maana dhana ya invasion of privacy ni pana.
na alitoa mfano
wa yeye mumewe hawezi kumuuliza iwapo amepokea simu hata usiku
mumewe hawezi kumuuliza nani huyo au ku demand maelezo....
Utakubali binti yako wa miaka 13 awe na privacy?
Labda sijaelewa, ya kiwango gani?
Na simu kwa umri huo afu bado awe na privacy?
Utapigwa penati ukiwa unashangaa!!
Hiyo ni sheria yao au ni sheria ya nchi?
ni katika suala zima la haki za binaadamu
nimesahau exactly ngoja nitafute thread uone
kuna thread nilileta hapa zamani
nilikutana na mwanasheria mwanamke
na katika mazungumzo
alisema wanawasaidia watu kujua haki zao
pamoja na hiyo ya privacy
na alitoa mfano
wa yeye mumewe hawezi kumuuliza iwapo amepokea simu hata usiku
mumewe hawezi kumuuliza nani huyo au ku demand maelezo....
wewe unasema kitanzania zaidi
kuna nchi mtoto anaweza kukupeleka mahakamani
kwa 'abuses za privacy na mahakama ikakupa 'amri ya kuheshimu haki za mwanao...
hii dunia ione tu hivi
ni katika suala zima la haki za binaadamu
nimesahau exactly ngoja nitafute thread uone
lakini tukatae tusikatae
wapo watu ni wa siri tu by nature
hata kama hawana cha kuficha.....
hii hapa kumbe NN alishachangia pia...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...-wote-wakiwa-independent-wanaume-tutalia.html