The Privacy In Relationships...

Hakuna privacy ya kuzuwiana simu kwa wanandoa.

Having said that, sio tena mwanamme atake kusoma msgs zangu zote japo zinazotoka kwa dada au kaka zangu.

Mimi na yeye hatuna privacy lakini dada yangu na yeye wana mipaka na privacy kwa hiyo aelewe hilo
 
Eti mtu anafikia hadi hatua ya kwenda bafuni kuoga nasimu,eti ni personal matters
Hii inakubalika kweli gee?
 
Eti mtu anafikia hadi hatua ya kwenda bafuni kuoga nasimu,eti ni personal matters
Hii inakubalika kweli gee?

Haikubaliki hata kidogo. Na anaefanya hivyo hatuna budi kumtilia shaka
 
ila ilo swala ni gumu kweli kulitekeleza as mambo ya usiri upelekea wa2 kuanza kuwekeana visasi
 
privacy inakuja coz wa2 wamebadilika na mapenzi ya kweli yamepotelea hewani so huwezi kuwa wazi kwa mtu 100% unless otherwise
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom