babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 13,117
- 16,028
Huyu jamaa hana washauri? Hata marafiki basi wa kumshauri angalau.
Mkuu ndiyo anavyojiita lakini, halafu najua umeelewa.We Babukijana ndo umekosea kwenye hiyo heading yako...Unasema jamaa hana washauri, wakati wewe ndo hujatulia!
Kiingereza, ukisema ..THE GREATER, hiyo ni 'comperative noun" unatakiwa ulinganishe na kitu kingine!..huh!
Embu rekebisha hii maneno bana...watu tulikuwa walimu zamani, tukaacha!
tatizo ni hizo senema zao zinavyopandiana mfululizo kila kukicha na kuna mwenzie RAY THE GREATEST,anyway nimeangalia movie yao moja tu lakini niliona mapungufu kibao,nadhani sababu ni kukurupuka na movie mpya daily,anyway umeniuliza mshauri mi sina ila mshauri wangu mkubwa ni hicho nimeshika mkononi.Fafanua mkuu......au na wewe huna washauri?
tatizo ni hizo senema zao zinavyopandiana mfululizo kila kukicha na kuna mwenzie RAY THE GREATEST,anyway nimeangalia movie yao moja tu lakini niliona mapungufu kibao,nadhani sababu ni kukurupuka na movie mpya daily,anyway umeniuliza mshauri mi sina ila mshauri wangu mkubwa ni hicho nimeshika mkononi.
sio kila kitu cha kuunga mkono,hatukatai wanajitahidi lakini wanapokosea pia mnatakiwa kutoa hizo kasoro nyie ndio mnafanya waendelee kutoa huu upupu,kwa sababu kila kitu kwenu ni kizuri kisa mnawapa moyo na kuwashangilia ndio maana akikosolewa na wengine anakimbilia kulialia maana mmewajaza ujinga kiasi kwamba chochote wanachotoa mnafagilia,wanaiga kiiila kitu,THIS IS IT! ndio nini sasa??mi kuliko niangalie huu ujinga afadhali nimwangalie king majuto au hata kingwendu.to sttart with... tunajaribu kulinganisha filamu za huyo kanumba na za nani???? maana tusije kuwa tunaziona zinamapungufu kibao tulikilinganisha na za wachezaji wakubwa wa hollywood ! hapo tutakuwa tunajaribu kufananisha kichuguu na mlima everest. tuwatie moyo wasanii wetu, wameanza kwa taabu na wameanzia mbali sana, kila kitu kina mwanzo, pamoja na kuwa mie si mtizamaji mzuri wa filamu zao lakini nadhani wanajaribu kufanya kitu angalau na huwezi amini wana washabiki wengi sana (watanzania wenzao na hata kenya) lakini kwa wewe uliezoea kufuatilia series na movie za kina angelina jolie lazima uone mapungufu kibao hapa, tunaridhika na ule uongo wa wazungu wa kupigana na jeshi zima peke yake na kukwepa mabomu n.k. au kuruka toka kwenye holikopta inayolipuka!!!!!! that why wkati mwingine najione bora kuwaangalia kina MASAKUU
sawa ndugu nimesikia.. naahidi kuanzia leo sitawasupport tena na upupu wao wa kijinga.. bora nijiunge nawe kuangalia kingwendusio kila kitu cha kuunga mkono,hatukatai wanajitahidi lakini wanapokosea pia mnatakiwa kutoa hizo kasoro nyie ndio mnafanya waendelee kutoa huu upupu,kwa sababu kila kitu kwenu ni kizuri kisa mnawapa moyo na kuwashangilia ndio maana akikosolewa na wengine anakimbilia kulialia maana mmewajaza ujinga kiasi kwamba chochote wanachotoa mnafagilia,wanaiga kiiila kitu,THIS IS IT! ndio nini sasa??mi kuliko niangalie huu ujinga afadhali nimwangalie king majuto au hata kingwendu.
Ndugu.......... AU ndo yale ya JK kwamba wengine mnaangalia upepo.........??? UMICHENJI GHAFRA...........sawa ndugu nimesikia.. naahidi kuanzia leo sitawasupport tena na upupu wao wa kijinga.. bora nijiunge nawe kuangalia kingwendu
Jamaa kadesa kupita maelezo. Ujinga huu.
aah wala sijachenji ghafla, tangu mwanzo nilijisemea kuwa mie si mteja wa kina kanumba, napendelea zaidi kina masakuu na mwala, kwa huku kwetu tanzania watu wanaogiza kama hao kina masakuu ndio kama kina kingwendu, majuto, small, bi chau, zembwela n.k. kwa hiyo sifuati upepo infact hata hizo movie za kina kanumba huwa naziona tu imalaseko zimejaa telee sijawahi kushawishika kununua, ila sometimes naziona kwenye africa magic +Ndugu.......... AU ndo yale ya JK kwamba wengine mnaangalia upepo.........??? UMICHENJI GHAFRA...........
Kudesa kunaruhusiwa, ila hii mh...Hadi Wacko Jacko anajua mchizi kadesa...
thats why i dont watch these things bana aaaaaaaaaaaaaah!!!!
thats why i like u.