Miswada ya sheria: It is over before it begins

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,008
Kwa drama hii inayofanywa na Serikali kuhusu miswada hii au kama alivyoiita Mbowe kuwa ni MATUSI, basi IT IS OVER BEFORE IT BEGINS.

CCM wameshaamua kuwa miswada hii inaenda kama ilivyo with COSMETIC POLISH. Yote yanayoendelea ni kupoteza muda ni DRAMA. Wenye akili ni kuamua what next kuikabili serikali!

Mbowe kasema MAANDAMANO, lakini kwa Watanzania sidhani! HAKUNA WA KUHILIMILI KUFA. TUKIWEZA KUHIMILI KUFA, KESHO KATIBA MPYA INAPATIKANA...... ANGALAU WAFE/TUFE KAMA MILIONI MOJA, SERIKALI ITALETA KATIBA LEO HII HII.

Kenya wanaeza kuishinikiza Serikali, lakini hapa kwetu tu MAITI ZINAZOTEMBEA

Viongozi wa dini mnasemaje?
 
Back
Top Bottom