The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

Tanzania tuna vipaumbele vyetu na sisi ndio tutakaosema kama Rais atafeli ama la! Hao mabwana zenu ambao kila siku mnawakumbatia subirini utawala wa UKAWA ndipo muwape hicho wanachohitaji.
Kipaumbele chetu ni kununua bombadia badala madawa. [HASHTAG]#Magufuliisboundtofail[/HASHTAG]
 
The Rise and fall of JPM empire
Reasons;
........
.......
.......
Usiibe mtihani kama JM aka marope
 
Sasa Kama makusanyo yote ni trillion 1.2 halafu tunalipa Deni shs. Bilion 900 Ina maana tunabaki na bilion 300 tu sasa hapo Raisi afanyaje?. Lazima kitokee kifo cha Mende hapo. Chali.
 
Tanzania tuna vipaumbele vyetu na sisi ndio tutakaosema kama Rais atafeli ama la! Hao mabwana zenu ambao kila siku mnawakumbatia subirini utawala wa UKAWA ndipo muwape hicho wanachohitaji.
Hatuwahitaji hao jumuiya ya kimataifa, hawawezi kutupangia nini cha kufanya
Nawashangaa hawa the Mburulaz wanakazana kuwakumbatia wakuja ilhali kiongozi shupavu tunaye
Wajinga kweli nyie, you're not different from faeces, nchi inasaidiwa kila kitu, kila Siku ni kuomba Msaada Kwa wahisani halafu mnaleta kibesi hapa.
Mmeua viwanda viwanda 490,sasa mnajenga uchumi gani Kama siyo kutukebehi?
Ni taifa gani duniani ambalo mifuko ya fedha ya umma ndo ilijenga viwanda?
Majambazi wakubwa nyie rudisheni pesa zetu.
 
Tanzania tuna vipaumbele vyetu na sisi ndio tutakaosema kama Rais atafeli ama la! Hao mabwana zenu ambao kila siku mnawakumbatia subirini utawala wa UKAWA ndipo muwape hicho wanachohitaji.
Haaaah wakati mlipewa na mabwana misaada ya kagera na mkatia mfukoni....

Kwa kuonyesha ni mabwana zenu kweli kama mlikuwa wanaume si mngezikata misaada mwanaume anapewaje misaada kama mwanamke?
 
Safi sana. Badala ya Magu kuimarisha taasisi za usimamizi, anataka yeye kuwa kila kitu. Hataki hata kuidikia katiba mpya! Hakika akiendelea hivi atafeli!
 
watanzania wamepewa majibu tayari na.maprofesa na wataalam kwamba lazima mkulu atafeli,kwa hiyo tukiwa tinamsikiliza,tuinamishe vichwa tu tukijisikitikia

mabingwa wa uendeshaji nchi wameshatupa majibu
 
taja kipaumbele cha awamu ya tano

Awamu ya tano inaendeleza vipaumbele vya awamu iliyopita na kuna vipaumbele vyake kama ulifuatilia kampeni utakuwa uliyasikia, na unapaswa kujua umeme vijijini unasambazwa sana so is infrastructure na kadhalika. Utafeli wewe mwenyewe.
 
taja vipaumbele,usikurupuke
 
Hahahahahaaaaaa! Unakaa na kumshadadian huyo Mange ambaye anaishi Marekani kwa kuuza mwili wake? Sitegemei kwa mtu mwenye akili timamu akamshabikia huyo kiumbe ambaye kwake ufahark ni kuzaa na wazungu
We mtu wacha upashkuna wa kike ,akikwambia thibitisha kama anajiuza utaweza?
After all kwani wewe unauza nini Lumumba?
Think before you bark---faiza foxy
 
Back
Top Bottom