Ben T
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 245
- 263
Nafikiri tabia ya Mtu haibadiriki mara moja, tunastahili kumjuza kuwa Nchi ni ya kwetu wote nae ni Kiongozi tuliye mchagua atuongoze.
Jana nilipata shida sana kuamini kuwa kauli ya kuvitishavyombo vya habari kuwa imetoka mdomoni mwake.
Mungu tupe subira Watanzania ili shida iliyopo mbele yetu iweze kutuondokea.