Bontowar, Leo ndiyo nimejua kuhusu hizo changes. Inabidi tuwe wapole japo kuna conflict inajitokeza.
Kama ni torrent jaribu kutumia hii site,
http://www.mininova.org .
Tumia cable tester mkuu ila itakuwa kazi ya ziada, pia inabidi ufatilie hizo cable moja baada ya ingineNahitaji kujua wakuu, endapo umekuta jengo limefanyiwa networking teena ghorofa.... Lina server na subserver zaidi ya 10....... Na cabling yake haipo lebbeled....
Kuna njia gani ya kuchunguza cabling na connection yoote ili niweke lable... Idea ya networking ninayo
Ni underground cabling bro... Installation imepita chini kwa chini ikafukiwa na zegeTumia cable tester mkuu ila itakuwa kazi ya ziada, pia inabidi ufatilie hizo cable moja baada ya ingine