The Computer Networks Crew

Kweli kabisa. Suala hili la Computer inatakiwa tuelimishane, kuna mambo mengi hatuyafahamu nikiwemo mimi mwenyewe. Kwa hiyo naomba nielimishwe kuhusu yafuatayo:

1. Nasikia kuna vitu kama Antivirus, Firewall. Je kazi ya vitu hivi ni nini?
Kwa uelewa wangu Antivirus inafanya kazi ya kuzuia virus wasiingie kwenye Computer, vile vile Firewall inafanyakazi kwa kusaidiana na Antivirus kuzuia Virus.

Naomba mwenye elimu zaidi kuhusu vitu hivi atuelimishe, maana sisi tunatumia tu Cmputer kwenye mtandao na pengine hatujui namna ya kuilinda hasa kutokana na virus.
 
Lazy Dog

it is out of tipoc ile forum ya request what you need infutwa? mbona haipo

nahitaji Window 2000 Server dowload isiwe kwenye rapishare iwe kwenye torent
 
Kilongwe, LazyDog, bontowar, BrainPower,

Mbona mmepotea ghafla....

Nimemaliza download::: Nafanya installation ya Simulator sasa::: Sketch tunayo na tuanze kazi sasa:::
 
Nahitaji kujua wakuu, endapo umekuta jengo limefanyiwa networking teena ghorofa.... Lina server na subserver zaidi ya 10....... Na cabling yake haipo lebbeled....

Kuna njia gani ya kuchunguza cabling na connection yoote ili niweke lable... Idea ya networking ninayo
 
Tumia cable tester mkuu ila itakuwa kazi ya ziada, pia inabidi ufatilie hizo cable moja baada ya ingine
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom