The best pick up line?

My worst pick up line was this one ."If I could rearrange alphabet I'd put 'U' between 'F' and 'CK".guess what the girl slap me on the face.
The best one was this one "If I could rearrange alphabet I'd put 'U' and 'I' together.the girl said to me you are so sweet and we end together.
and I kissed her when I said "Your lips look so lonely.... Would they like to meet mine?
 
nikilala usingizi sipati!
nikila sishibe!
nikinywa maji nakuona kwenye gilasi!
unanitesa mpenzi!
 
Mbona hii mada siielewi? au nadandia treni kwa mbele nini?
Pick up line ni nini? na inahusiana vipi na MMU?

Charity,

waniua ua kipenzi waniua ua x 2
macho yako ya gololi waniua ua
kiuno chako chembamba waniua ua
 
oh sorry didn't know that!! but one day will bring u nice stuff!!

oooh no!! I must be a bad shooter because I keep on missing you!!!

Mbona hii mada siielewi? au nadandia treni kwa mbele nini?
Pick up line ni nini? na inahusiana vipi na MMU?

inahusu hii tena moja kwa moja........tulia tu utaiona
 
Mbona hii mada siielewi? au nadandia treni kwa mbele nini?
Pick up line ni nini? na inahusiana vipi na MMU?

Ni mambo ya fasihi andishi haya Charity.....Ana maanisha maneno matamu uliyowahi kutamkiwa kwenye siku za mwanzo mwanzo ya uhusiano!
 
Andanenga ndo alikuwa mwalimu wako wa fasihi wewe eeh??!!!
 
Nilikuwa nacheza sanaa za jukwaani nikiwa shule....!!! Kabla ya kuhamia kwenye basketball!!! Kwa hiyo fasihi hainipigi chenga sana! :)
 
Mbona hii mada siielewi? au nadandia treni kwa mbele nini?
Pick up line ni nini? na inahusiana vipi na MMU?

sis charity umeona eeh inavyoleta utata.
mpaka people wameamua kujianziashia mada zao ndani ya mada sijui we ndo barafu wa moyo wangu ukiyeyuka sina pumzi tena
maisha yangu yako mikononi mwako sijui yeye amekuwa mungu ...
jambo limezua jambo:)
 
Nilikuwa nacheza sanaa za jukwaani nikiwa shule....!!! Kabla ya kuhamia kwenye basketball!!! Kwa hiyo fasihi hainipigi chenga sana! :)

umenithibitishia hilo hapa JF maana .....loh!!! unadadavua kweli kweli
 
sis charity umeona eeh inavyoleta utata.
mpaka people wameamua kujianziashia mada zao ndani ya mada sijui we ndo barafu wa moyo wangu ukiyeyuka sina pumzi tena
maisha yangu yako mikononi mwako sijui yeye amekuwa mungu ...
jambo limezua jambo:)

bestlady mbona ndo humo humo tu......
 
Kibongo bongo i think the best pick up line is " Samahani nani anakuweka mjini?"
 
bestlady mbona ndo humo humo tu......

Halafu mistari mingine huwa inakuja 'automatically' tu jamani, nadhani inatokana na ''adrenaline fluid''!! :) Maana hata ukiambiwa uirudie huwezi! :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom