geofrey senyagwa
Member
- May 9, 2014
- 57
- 45
Habari zenu wana jukwaa jana nimeagiza parcel kwa kutumia aliexpress leo leo unaonesha mzigo umefika dar tayari shipping status inasema hivi "Delivery company has picked up the large shipment" nachotaka kujua hii large shipment ni nini? Na inatofauti gani na shipping ya kawaida?