>*< The BEST Of Denzel Washington >*<

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,080
Hellow wana JF...

Denzel Washington ni moja wa Holly Wood Acters napenda saana.
Do your share my Like/Love of him?? If YES Picha zake zipi kwako
wazipenda? Scene gani? Quote gani? Nafasi gani wapenda zaidi?
Na movie gani bora zaidi kwako? Alochemka? Na the Like.....

Among the Movies I love are:

The Bone Collecter
Pelham 123
The Pelican Brief
John Q
The Siege

Pamoja Saana.

AshaDii.
 
I think Training Day is probably the best.
That is one of my all time films.
Tena ilimpa na Oscar.
Malcom X siyo mbaya pia.
But in American Gangster, he didn't seem to me as a gangster unless magangster wa miaka hiyo walikuwa vile.
 
Ni kweli Training day is one of my Best too... thou haipo in one of my all time movies... Hio ya American Gangster niliishia njiani, niliona mbaya na sikuipenda kwa kweli..... Malcom X.. Like you said it is just an OK Movie...
 
Training Day

Unstoppable

Book of Elly

Man On Fire

John Q

Its ma best movies of Denzel ila Training Day ndio my all time movie niipendayo.
 
Acting is just a way of making a living, the family is life.
Denzel Washington

Any good piece of material like Shakespeare ought to be open to reinterpretation.
Denzel Washington

Black or white good parts are hard to come by. A good actor with a good opportunity has a shot; without the opportunity it doesn't matter how good you are.
Denzel Washington

I think the bottom of the totem pole is African-American women, or women of colour. I think they get the least opportunities in Hollywood.
Denzel Washington

Baadhi ya Quotes zake, Nadhani kuna wadau wataweka nyingine nyingi hapa Jamvini.
 
Black or white good parts are hard to come by. A good actor with a good opportunity has a shot; without the opportunity it doesn't matter how good you are.
Denzel Washington

Nimependa the Most hio nilo acha... Watu wanadhani it is that simple... Sio tu katika acting, naamini katika nyanja zote ni hivo hivo.
 
I think Training Day is probably the best.
That is one of my all time films.
Tena ilimpa na Oscar.
Malcom X siyo mbaya pia.
But in American Gangster, he didn't seem to me as a gangster unless magangster wa miaka hiyo walikuwa vile.

Mkuu ule sasa ndio u gangster si kuvaa suruali chini ya makalio au kujichorachora mwili tu alafu the movie is based on a true story so tumia akili yako kujua nini kilimaanishwa....."sometimes we do not need brain surgeries to understand things"
 
Katika Unstoppable/John Q which is your favourite part?

John Q my favourite part ni pale Denzel anapopigiwa simu na mkewe na kumwambia "Do something" kwani mtoto atakufa;-

Kwa mawazo yangu nilijua may be anaweza kuuza nyumba au kwenda Bank kuiba ila kilichotokea ni tofauti na kile nlichokuwa nawaza kuz katika movue nyingine za blacks hatua kama ile lazima ingekuwa kwenda kuiba bank au lounge. Nilipenda sana akili aliyotumia.
 
Hellow wana JF...

Denzel Washington ni moja wa Holly Wood Acters napenda saana.
Do your share my Like/Love of him?? If YES Picha zake zipi kwako
wazipenda? Scene gani? Quote gani? Nafasi gani wapenda zaidi?
Na movie gani bora zaidi kwako? Alochemka? Na the Like.....

Among the Movies I love are:

The Bone Collecter
Pelham 123
The Pelican Brief
John Q
The Siege

Pamoja Saana.

AshaDii.

Kuna kitu kinaitwa Out of Time ni balaa and it's mine of all time!
 
Book of Eli, ndio kwa upande wangu pia,kama mtu hajaiona aitafute hii movie

Ipi inafuata Pay God?

John Q my favourite part ni pale Denzel anapopigiwa simu na mkewe na kumwambia "Do something" kwani mtoto atakufa;-

Kwa mawazo yangu nilijua may be anaweza kuuza nyumba au kwenda Bank kuiba ila kilichotokea ni tofauti na kile nlichokuwa nawaza kuz katika movue nyingine za blacks hatua kama ile lazima ingekuwa kwenda kuiba bank au lounge. Nilipenda sana akili aliyotumia.

Umenikumbusha hapo aisee... hata mimi mawazo yangu ni kua atafanya kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wake... Sikufikiria nyumba for ilikua imeshagusiwa kua iko out of question tokana na kwamba alikua hana vigezo vya mikopo kutumia nyumba yake....

I love ile part Mwishoni... hasa toka pale inakua inafuatiliwa na the whole nation, na the way alijieleza ku justify (hasa pale alipoonesha anataka ku surrender kumbe sivo).
 
Back
Top Bottom