>*< The BEST Of Denzel Washington >*<

Taking this debate to another angle. Nimeona mara nyingi kwenye graduations za vyuo vikuu vya marekani kwa kawaida mgeni rasmi anakuwa the best in his/her respective industry. Kwa kwenye industry ya filamu unakuta watu kama akina Washington ndio wageni rasmi. Na speech zao kwa kweli zina motivate the the new graduates hasa jinsi watakavyoitumia elimu yao for the betterment of the world in general and their country in particular.

Labda imefika wakati na sisi badala ya wageni rasmi kuwa wanasiasa tuu, kuwe na wageni rasmi ambao ni the best in their respective industries. Lakini ubovu wa kwetu, hasa kwenye industry ya entertainment, wengi wao sio graduates. Lakini kuna fani nyingine ambazo kuna watu wana elimu ya degree na wamefanikiwa sasa. Otherwise, tutaendelea kuwa na graduates wanaoishia kuwa wanasiasa.

Kwenye hii video clip speech ya Washington aliyoitoa at the University of Pennsylvania's 255th graduation. It was not the best speech kama tulizoea kwenye filamu zake lakini was good. Ana B.A in Drama and Journalism from Fordham University in 1977.

I like this post.... Hili ni wazo zuri kabisa.... Ila kama ulivo sema wengi sio Graduates... BUT in a small and young nation there could be Exceptions.... Depending on the Reputation ya huyo msanii kuja weza toa tuzo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
..Nimesoma page ya kwanza ya thread hii na sijaona mtu anataja "Inside Man"! Kweli watu wanapenda mabunduki, damu na marisasi! Kwangu mimi, hii ni muvi kali kuliko zote nilizowahi kuangalia!

Jamani Sooth you could have atleast gone 3 pages.... Kuna watu kama four if am not mistaken wametaja hii movie pamoja na mimi mwenye and I have it in my collection. But really umeangalia movie zote za Denzel? Kwamba ndio kali kuliko zoote...
 
I like this post.... Hili ni wazo zuri kabisa.... Ila kama ulivo sema wengi sio Graduates... BUT in a small and young nation there could be Exceptions.... Depending on the Reputation ya huyo msanii kuja weza toa tuzo.

On the other hands, sidhani kama ni lazima wawe graduates. Ni mtu ambaye ame succeed kwenye industry fulani. Mbona Bill Gates alikimbia umande Havard, lakini baadae akaja kuitwa kutoa speech? Kwa mfano hata hizi graduations za sekondari, you don't need a graduate. Ni mtu ambae amefanikiwa kwenye fani fulani unamwita pale kuja ku-inspire na ku-motivate graduates. Kipindi cha utawala wa Mwinyi kidogo niache shule.
 
Jamani Sooth you could have atleast gone 3 pages.... Kuna watu kama four if am not mistaken wametaja hii movie pamoja na mimi mwenye and I have it in my collection. But really umeangalia movie zote za Denzel? Kwamba ndio kali kuliko zoote...

Kipenda roho kula nyama mbichi..the beauty in the ........
 
Taking this debate to another angle. Nimeona mara nyingi kwenye graduations za vyuo vikuu vya marekani kwa kawaida mgeni rasmi anakuwa the best in his/her respective industry. Kwa kwenye industry ya filamu unakuta watu kama akina Washington ndio wageni rasmi. Na speech zao kwa kweli zina motivate the the new graduates hasa jinsi watakavyoitumia elimu yao for the betterment of the world in general and their country in particular.

Labda imefika wakati na sisi badala ya wageni rasmi kuwa wanasiasa tuu, kuwe na wageni rasmi ambao ni the best in their respective industries. Lakini ubovu wa kwetu, hasa kwenye industry ya entertainment, wengi wao sio graduates. Lakini kuna fani nyingine ambazo kuna watu wana elimu ya degree na wamefanikiwa sasa. Otherwise, tutaendelea kuwa na graduates wanaoishia kuwa wanasiasa.

Inawezekana nimechelewa sana kwenye kijiwe hichi ila naamini sijachelewa kwenye post hii!

Hichi kitu ulichoongea hapa kimenitoa kwenye mawazo yote ya Danzel na umenirudisha home mzima mzima....

Wazo ulilolitoa ni zuri sana, na nadhani japo kwa kuanzia kwenye vyuo vyetu vya sanaa tu kama Bagamoyo, kuna magraduate wengi wamepita pale na wamefanya vizuri sana kwenye sanaa ya kibongo japo ukiangalia tena sanaa yetu imegawanyika hivi.

Kuna wasanii serious wamefanya makubwa hata ulaya na nchi zingine Africa ila bado media zetu na hapa nyumbani hatutaki kuwatambua sana... Mfano watu kama wakina Martin Mhando na kizazi chao cha enzi hizo pale Bagamoyo, leo hii ni adimu sana kukuta kazi zao zinapewa promo kubwa kwenye media zetu japo ni wanafanya kazi kubwa sana...!

Kweli kuna haja ya watu kama hawa kupewa jukwaa kwenye taasisi za kielimu za fani husika watakuwa na mengi ya kuwainfluence vijana wa kizazi kinachofuata.

Sidhani kama ulikuwa unamaanisha mtu kama Ray (yah japo namuheshimu naye ni mtu maarufu) ahudhurie kwenye Graduu ya chuo fulani cha sanaa na atoe sanaa, excuse me!

tumewahi kuwa na wakina Mama zetu kama Prof Amandina, wakina Ahmed Kipozi..... hata kizazi cha kati hapo wakina Carola Kinasha au wakina Cheche Mtungi, kwa kuwataja wachache tu.....

Tutarekebisha kidogo kitu sehemu siku za usoni kuirudishia sanaa yetu hadhi yake!
 
Back
Top Bottom