>*< The BEST Of Denzel Washington >*<

Kuna kitu kinaitwa Out of Time ni balaa and it's mine of all time!

I Love that movie... Yupo na Eva Mendes na Sanaa... Inaonesha the way Love (in this case sijui niseme infatuation??lol) ina play part kubwa katika utendaji wa kazi...

Hasa toka pale alipogundua kua he has been played!
 
Ipi inafuata Pay God?

Umenikumbusha hapo aisee... hata mimi mawazo yangu ni kua atafanya kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wake... Sikufikiria nyumba for ilikua imeshagusiwa kua iko out of question tokana na kwamba alikua hana vigezo vya mikopo kutumia nyumba yake....

I love ile part Mwishoni... hasa toka pale inakua inafuatiliwa na the whole nation, na the way alijieleza ku justify (hasa pale alipoonesha anataka ku surrender kumbe sivo).

Pia mimi niliipenda sana ile part, afu kuna sehemu alienda kuomba atangazwe anaomba msaada kwenye media lakini walimkatalia bt yule yule aliyemkatalia ndo alikuwa wa kwnza kufuatilia after he rob tha hospital.
 
I Love that movie... Yupo na Eva Mendes na Sanaa... Inaonesha the way Love (in this case sijui niseme infatuation??lol) ina play part kubwa katika utendaji wa kazi...

Hasa toka pale alipogundua kua he has been played!

Yah, pia ni movie nzuri sana, kuna kitu ningependa kujua kuz baada ya movie ya Training Day wakati anapata tuzo ya Oscar alisema kuna mama alimtabiria kuwa atakuwa star siku za usoni alipokutana nae hospital akiwa na wazazi wake. Hii kitu ni ukweli au ni manjonjo yake tu??
 
Pia mimi niliipenda sana ile part, afu kuna sehemu alienda kuomba atangazwe anaomba msaada kwenye media lakini walimkatalia bt yule yule aliyemkatalia ndo alikuwa wa kwnza kufuatilia after he rob tha hospital.

Hypocracy all over!!! Sababu sasa it was National (if not international) worth while news in he sense ya kuuza ndo akataka ku cover the story.... Ile picha inaonesha EXACTLY the way maisha yalivo sasa.... Inatia huruma mno... but so encouraging....
 
Anti utanishangaa but I don't like Denzel... :thinking:
Ingawa namkubali, he is a great actor,
na akicheza movie sio zile za stereotype of an African American.
 
Yah, pia ni movie nzuri sana, kuna kitu ningependa kujua kuz baada ya movie ya Training Day wakati anapata tuzo ya Oscar alisema kuna mama alimtabiria kuwa atakuwa star siku za usoni alipokutana nae hospital akiwa na wazazi wake. Hii kitu ni ukweli au ni manjonjo yake tu??

This is news to me.... Hata hivo the nature of the source kua ni yeye mwenyewe on the nite of kuzawadiwa it maybe right or wrong. Hata hivo Denzel looks like a trust worthy person... yawezekana ni kweli.... Yawezekana huyo mzee alimtabiria sababu he was cute as a kid and handsome as a grown man :wink2:
 
Anti utanishangaa but I don't like Denzel... :thinking:
Ingawa namkubali, he is a great actor,
na akicheza movie sio zile za stereotype of an African American.

Kweli nimeshangaa niece....

Movie gani yake umewahi angalia? Nayo yaweza kua determinant factor ujue.....
 
Kweli nimeshangaa niece....

Movie gani yake umewahi angalia? Nayo yaweza kua determinant factor ujue.....
Almost zote hizo zinazo tajwa nimeziona.
Hivi kuna mtu alitaja 'deja vu'? Nilimpenda sana yule dada (Paola Patton)
Amecheza mission impossible IV, Ghost Protocol...
 
For me Glory is the best,then
John Q,
The great debaters,
Remember the titans,
Malcolm x,
Training Day
 
Almost zote hizo zinazo tajwa nimeziona.
Hivi kuna mtu alitaja 'deja vu'? Nilimpenda sana yule dada (Paola Patton)
Amecheza mission impossible IV, Ghost Protocol...

I wonder ni jinsi gani nilisahau "deja vu".... I love it, love it, love it.
Hainichoshi kabisa!! Napenda the Lady too, Ila bado sijaona hhio Mission Impossible IV,
Looking forward to it maana niliko hakuna access ya new movies....lol

Sasa kama umeweza sit down and watch all the Movies na humpendi, then certainly you appreciate him....
 
Well, there is no doubt that he is a great actor... but not one of my favorite. hata top ten yangu nadhani hayumo
 
Well, there is no doubt that he is a great actor... but not one of my favorite. hata top ten yangu nadhani hayumo

Nipe top five yako.... BTW Swali la kizushi: katika all the Mission Impossibles ni dada gani alikuvutia Acting? Hapa nataka nipate jibu kati ya hao woote if Ghost Protocol has the Best Actress...
 
I love Denzel and all of his movies....sijawahi kuwa disappointed na movie zake. Zingine nazipatia hapa hapa kwenye thread nazidownload niangalie baadae.
 
Hellow wana JF...

Denzel Washington ni moja wa Holly Wood Acters napenda saana.
Do your share my Like/Love of him?? If YES Picha zake zipi kwako
wazipenda? Scene gani? Quote gani? Nafasi gani wapenda zaidi?
Na movie gani bora zaidi kwako? Alochemka? Na the Like.....

Among the Movies I love are:

The Bone Collecter
Pelham 123
The Pelican Brief
John Q
The Siege

Pamoja Saana.

AshaDii.

The Taking of Pelham 123 and John Q are my all time favourites.The guy is super awesome.
 
Movie yake ya kwanza kuiona ni ile ya Steve Biko. Ni moja ya movies chache nzuri nilizoziona nikiwa kijana mdogo sekondari zikashape my thinking. Hata hivyo kuna nyingine I have forgotten the name, alikuwa kama bodyguard wa mtoto wa tajiri mmoja Mexico. That was also brilliant
 
I love Denzel and all of his movies....sijawahi kuwa disappointed na movie zake. Zingine nazipatia hapa hapa kwenye thread nazidownload niangalie baadae.

Fuatilia zoote... Ila tangulia kati ya hizi incase you have not watched.

Taking of Pelham124

Deja Vu

The Bone Collectors

Out of time

Insdide Man
 
Back
Top Bottom