The beauty and the ugly.

Hehehe maana sijui hata nianzie wapi! ....Boss alikuwa ana play hard to get (lol)

Si umeona kwa nini vidume vinataka sometimes upotee hewani JF!


wewe...
actually nilitaka dogo awepo 'aone' kaka zake ' tuna handle vipi'
unamkumbuka JUX na jinsi dogo 'alivyolowa'????
 
lol!...Bishanga sikukuu njema.

hata karibu? Wala usihofu,nitakuja nimevaa kaptula,shati na mgongoni begi la shule.Nitakuwa mtoto mzuri,na baada ya biriyani ukiamua kucheat......well.....
 
wewe...
actually nilitaka dogo awepo 'aone' kaka zake ' tuna handle vipi'
unamkumbuka JUX na jinsi dogo 'alivyolowa'????

Ukicheki kwa udeep una point.

Ila waswahili wanasema "Debe tupu ..." sasa isije kuwa wewe mwenyewe ndo wale wale tu
 
Boss muulize Bishanga anajua maana ya LAY LOW akiishajua mwambie yeye na Rocky wasiwe wanalalamika.....lol!

uli lie low au SL alikuficha La Gemma zanzibar?huko nasikia kila chumba kina swimming pool yake,hongera aisee
 
Back
Top Bottom