The 30 Best Cities in Africa: Dar es salaam yaongoza East Africa

View attachment 322936
View attachment 322937
kijografia ebu nitenganishie hapo tanzania ya east africa na rwanda/burundi ya central africa. ukiangalia hapo upande wa magharibi mwa tanzania vertically utaona kigoma, rwanda na burundi na uganda ziko sambamba.
Mkuu wanasema ipo Central Africa kutokana na mipaka ya kitumwa tuliyowekewa na wazungu ,kwenye ramani hapo it makes sense Rwanda na Burundi kuwa East Africa kuliko kuwa central Africa
 
Sitaki kubishana. Rudia post na majibu .. Kama concept ndogo tu hio unashindwa kuelewa je tukikushukia topic ya organic chemistry si utajiharrishia?
Hii ndio shida ya watanzania ,concept zipi ?? Toa za kwako sio unadandia za watu ,wewe organic chemistry umeona ni rocket Science na hizi zitakua nini ? -errors and dimension
-MECHANICS:newtons laws,simple harmonic motion,circular motion,projectile motion,elasticity,fluid mechanics,gravitation and rotational motion
-Heat and kinetic theory of gases
-wave and wave motion
-electrostatics
Toa sababu kwanini Rwanda sio East Africa ?
 
Naona umeicopy na kuipest hapa sio? Kama wewe noma hicho ulichokikopi na kukipest hapa kiandike kwa kiswahili.
Na hilo swali unaloliuliza si umeshajibiwa?
Tatizo unakurupuka unataka unachokiwaza wewe kiwe hivyo hivyo, kila kitu kimewekwa na kipo kwa tararibu za kimakubaliano.
Acha ubishi
 
Ewe punguani, unachobishana kwa kuhororoja na kubwabwaja bila mpango ni kipi? Nimeshakwambia mleta mada yupo sahihi.

Leo mimi Samora Avenue nnaiita Independence Avenue. Na waliokuwepo wananielewa.

Hakika shule ulienda kupigwa miti kama ulivyojiainisha.
Usijifanye una maneno machafu ,anayepigwa miti mama ako ,wewe mbona mkund* umeoza huo kila siku kuomba ushauri kwa ID tofauti
 
Naona umeicopy na kuipest hapa sio? Kama wewe noma hicho ulichokikopi na kukipest hapa kiandike kwa kiswahili.
Na hilo swali unaloliuliza si umeshajibiwa?
Tatizo unakurupuka unataka unachokiwaza wewe kiwe hivyo hivyo, kila kitu kimewekwa na kipo kwa tararibu za kimakubaliano.
Acha ubishi
Acha upumbavu wewe nimepita OLD MOSHI ,halafu PCM ,enzi ya KINUNDA waliopita old moshi wanajua naongelea nini ,TOA SABABU KWANINI RWANDA SIO EAST AFRICA ???
Kumbe kwa nini unataka mimi niamini anacho kisema huyo ajuza ??
 
Ben kwanza matusi ya nini?
Ukianza matusi badi ujue hutapata unachokitaka..
Old na PCM ndio zilizofubaza ubongo wako hadi unashindwa kuelewa concept ndogo hivi?
Unaitia aibu Old Moshi.
 
Ben kwanza matusi ya nini?
Ukianza matusi badi ujue hutapata unachokitaka..
Old na PCM ndio zilizofubaza ubongo wako hadi unashindwa kuelewa concept ndogo hivi?
Unaitia aibu Old Moshi.
Upumbavu sio matusi ni Rulling Mkapa aliitoa unapotaka kusema sijui kwamba concept ndogo inanishinda je eti organic chemistry nitaelewa ?? wewe ulijuaje kwamba sitaelewa ? sasa kama sio upumbavu ni nini au ulifikiria nimesomea mapishi nini Mzee
Bado hujanipa sababu ,Niambie kwanini Rwanda sio East Africa ???
 
Usijifanye una maneno machafu ,anayepigwa miti mama ako ,wewe mbona mkund* umeoza huo kila siku kuomba ushauri kwa ID tofauti
Kuna ulazima gani wa kutoa lugha za aina hii? Sijaona mahali ambapo Faiza amekosea zaidi ametoa ufafanuzi mzuri sana na Saint Iyuga akaongeza kuna namna ya kukubaliana katika jambo tusilolikubali.
Sioni kabisa ulazima wa lugha kama hizi.
Hatupotezi kitu kama tutaheshimiana.
Pia haitufanyi wajanja au werevu kuwa waharifu wa kimaadili
 
Kuna ulazima gani wa kutoa lugha za aina hii? Sijaona mahaki ambapo Faiza amekosea zaidi ametoa yfafanuzi mzyri sana na Saint Iyuga akaongwza kuna namna ya kukubaliana katika jambo tulilolikubali.
Sioni kabisa ulazima wa lugha kama hizi.
Hatupotwzu kitu kama tutaheshimiana.
Pia haitufanyi wajanja au werevu kuwa waharifu wa kimaadili
Asante sana Bro...
 
Mzee kwangu mimi ni jino kwa jino sio zaidi ya hapo wala pungufu ya hapo,kilochotolewa hapo ni ufafanuzi au maneno ya kukariri ,kwenye hayo maelezo yao sijaona bado kitu cha kuni convince kwamba Rwanda sio EAST AFRICA
Faiza amezoea kutoa maneno machafu hivyo acha niende nae hivyo
Samahani kama i hurt your feelngs
 
Wewe mtakatifu Ivuga nani anajaa upepo kirahisi hivyo ?? Aliyejaa upepo kati yangu na wewe ni nani ?? Umefanya nini ili nisi ku quote ??? Huko si ndio kujaa upepo ?? Leta sababu kwanini Rwanda sio East Africa ??
 
Ben ilete ile copy and paste yako kwa kiswahili.. Nenda hata google swahili translater Wewe si genius wa old moshi?
 
Ben ilete ile copy and paste yako kwa kiswahili.. Nenda hata google swahili translater Wewe si genius wa old moshi?
Aisee sijawahi kuona mtakatifu wa aina yako ,hizo topics kuzileta kwa Kiswahili unamaanisha nini ??au wewe ndio matokeo ya BRN ?? Ni wapi Tanzania hii physics imefundishwa kwa kiswahili ???
Samahani mimi nilitumia vitabu ya kina Tom Duncun, Advanced Physics vya kina Jonathan Allday na Steve Adams ,
Ficha ujinga wako mtakatifu
 
Back
Top Bottom