The 30 Best Cities in Africa: Dar es salaam yaongoza East Africa

Ulicho kariri ni ubishi tu ,hebu tusaidie kwa wewe unaye elewa Rwanda ipo wapi ???

Screenshot_2016-02-13-13-31-38-1.png
 
Bibi hapa tutakesha ,huwezi kuniambia Rwanda haipo East Africa na sababu yenyewe unayoitoa eti sio EA kwa sababu haipo EA ,na kinachoifanya isiwepo EA ni nini ? Unaniletea porojo zako
Kwa concept yako nchi nyingi ambazo zipo ufukweni mwa bahari ya hindi ni east Africa... Kwa maconcept yako ya kijuha hapo sawa hatuwezi kubishana na wewe . Si ndio msimamo wako ambao hauna reality wala makubaliano yoyote.
 
Unajua mwendo kasi kwa kingereza? Google.
Maana yake kama unashindwa kuniletea maana ya gravitation kwa kiswahili hakuna haja ya kubishana na wewe its none sense... If you cant argue in your language lets argue in English then. Rather i will be wasting my time.
Wewe unaumwa nini ?? Maana ya gravitation kwa kiswahili mimi mkalimani ??? Kwa hiyo ulivyotumia Kingereza ndio ukajiona umebadili gia angani
Sie sind so ein Arsch nächste Mal Ihre Schlachten mit Bedacht wählen
 
wEwe ni kiazi kweli unadhani lugha ya Angel Merkel unaijua wewe tu?
verwirren sie nicht mehr mit mir.... Tena ngoja nikuongezee na nyingine ambayo hata hujawahi kuisikia ..ты тупой идть нахуй блять сука...
 
Kaka huyu hajamnyoosha mhindi tu. Aliwanyoosha hadi wachina kariakoo.. Kaka usilete ubishi kwa kila mtu..
Wewe nyama nini ?? Aliwanyoosha Wachina Kariakoo ?? Hilo lina uhusiano gani na mimi ? Kwa hiyo unataka kuamuaje??
 
wEwe ni kiazi kweli unadhani lugha ya Angel Merkel unaijua wewe tu?
verwirren sie nicht mehr mit mir.... Tena ngoja nikuongezee na nyingine ambayo hata hujawahi kuisikia ..ты тупой идть нахуй блять сука...
Oh kumbe wewe Kitumbua ulivyokuja na kingereza chako unadhani unakijua wewe ??
Wer durcheinander mit einem Esel ??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom