The 30 Best Cities in Africa: Dar es salaam yaongoza East Africa

Kigali hata ipakane na Indonesia bado si East Africa. Kigali tuna ushirikiano nao katika Jumuiya ya Afrika Mashariki aka East African Community.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ni sawa hata mimi najua ipo Central Africa ila kwa ujuha wenu mmeiweka kwenye EAC ,kwanini hamkuichukua Eritrea au Ethiopia ?? Maana na Zenyewe ni East Africa
Shule nilienda kusomea kupiga miti una lingine ???
 
Ewe punguani, kuwa kwenye jumuia hakuingiliani na mipaka ya jiografia.

Nchi hazichukuliwi zinazoona jumuia itakuwa na manufaa kwao huomba kujiunga. Hao uliowataja ulipokea wewe maombi yao?

Kumbe Algerian wapo SADC ???? Nshakuambia shule nimeenda kusomea kupiga miti hujaelewa nini
 
Ni sawa hata mimi najua ipo Central Africa ila kwa ujuha wenu mmeiweka kwenye EAC ,kwanini hamkuichukua Eritrea au Ethiopia ?? Maana na Zenyewe ni East Africa
Shule nilienda kusomea kupiga miti una lingine ???

Andika kirefu cha EAC ujione ulivyo juha.
 
Kumbe tatizo lako ni maneno sasa hapa ujuha tunatofautiana vipi kama hizi Geographical locations sio moja wapo ya sababu za kuzipa majina union au comunity zetu kwanini JAPAN hawapo EU ??
 
Kuwepo au kutokuwepo kwa Algeria SADC hakumaanishi chochote.

Jiulize kwa nini Tanzania imekuwa ipo SADC?
Ngoja tuende taratibu tupeane Darasa kuum Malawi iko wapi ? Na tunashea nao nini ,kwa kutumia hicho kigezo cha Geographical locations ndio Tanzania ikaingia SADC
 
hii mipaka ya wazungu imewatia ujinga kabisa, kigali, bujumbura ndo kigoma ndo kagera. bila huo mchoro wa wazungu rwanda, burundi na tanganyika ni sehemu moja kabisa
Mkuu umewatafunia kila kitu washindwe kumeza tu
 
Kigali hata ipakane na Indonesia bado si East Africa. Kigali tuna ushirikiano nao katika Jumuiya ya Afrika Mashariki aka East African Community.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ni sawa hata mimi najua ipo Central Africa ila kwa ujuha wenu mmeiweka kwenye EAC ,kwanini hamkuichukua Eritrea au Ethiopia ?? Maana na Zenyewe ni East Africa
Shule nilienda kusomea kupiga miti una lingine ???
Ewe punguani, kuwa kwenye jumuia hakuingiliani na mipaka ya jiografia.

Nchi hazichukuliwi zinazoona jumuia itakuwa na manufaa kwao huomba kujiunga. Hao uliowataja ulipokea wewe maombi yao?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
ImageUploadedByJamiiForums1455311966.867084.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1455311990.901499.jpg

kijografia ebu nitenganishie hapo tanzania ya east africa na rwanda/burundi ya central africa. ukiangalia hapo upande wa magharibi mwa tanzania vertically utaona kigoma, rwanda na burundi na uganda ziko sambamba.
 
Back
Top Bottom