Thanks Paka Jimy

PJ and De Novo, this is awesome! Keep up the spirit.
 
Anafanya logistic ya kufungua kiwanda cha mbege na choya anadai soko ni kubwa sana.
So yupo busy sana mpwa hata cmu hapokei
hahaaaa, umenikumbusha mbali sana fide, from now on itabidi uwe mze wa choya au choo hiyo?!!
 
PJ mbona mie hunitwangii naomba kutwangiwa simu tafadhari
shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Hongera kaka PJ we ni mzalendo halisi wa JF
KUMBE NA ILE NI ID YAKE?...........
noted again and again.........
ngoja nkalielie kwa invizibo..........
 
tuko pamoja sana tu, ila itabidi Geoff apange timu ya ushindi... ubingwa bila kupoteza mechi
I WAS BORN FOR THAT ONLY!..............
jose maurinho mimi bana........
ngoja nianze mkakati...........
 
ha ha ha kumbe kasema alisahau mie alinambia mipaka ilifungwa :rolleyez:

Kweli kabisa si unakumbuka niliambiwa nisipite ile njia ya SERENGETI SERENGETI kuna washomali wanadumisha mila na wasafiri hasa wa kiume? nikaogopa kugeuzwa boflo ila nitakuja nikipata nafasi.
 
wapi Kaizer mzee wa Upako
Moyo unauma sikuoni!!
Roho imeingiwa na baridi
Ukimya wako unanitisha
Akili ime..freeze kutokusikia habari zako popote duniani
Mabinamu kaizer wapi jamani ???
kaizer amefulia.....
intaneti anaunga unga kefu...........
 
YEAH JF inatuunganisha hata mimi nimekuja DAR na nilipata mapokezi ya Wapwa Xpini, GEOFF, Kaizer etc....
 
YEAH JF inatuunganisha hata mimi nimekuja DAR na nilipata mapokezi ya Wapwa Xpini, GEOFF, Kaizer etc....
mpwa waambie wana jf tulikupokelea wapi na tulikuwa tunafanya nini..........
hehehehe!!........
 
tuko pamoja sana tu, ila itabidi Geoff apange timu ya ushindi... ubingwa bila kupoteza mechi

Nasikitika tutawakosa Kaizer na Fidel. Lakini hakuna jinsi....

Ndio madhara ya kushabikia matimu mabovu.
 
Pale panaitwa FLORIDA Broda...Kwa wale watu wa masupu ya ulimi, mkia etc..
Pale ni soo Mkuu!...useme shida ya pale dili za wizi wa magari zinasukiwa pale, mchana kweupe!

PJ,

Vpi na hapo Mrina & Shivaz wale "wana maombi" bado wapo tupande hapo na Nabii Tito?( la kizushi kaka):
 
Nasikitika tutawakosa Kaizer na Fidel. Lakini hakuna jinsi....

Ndio madhara ya kushabikia matimu mabovu.

Haina shobo kaka, watakua wageni rasmi na tutawanunulia juisi ya machungwa kama zawadi
 
KUMBE NA ILE NI ID YAKE?...........
noted again and again.........
ngoja nkalielie kwa invizibo..........

Geoff Bwana mie sijasema hivo
unamanisha ana ID mbili kumbe ??Pakajimmy & Mwanahalisi...:rofl:
PJ hapo sijaongea mie ni huyo rafiki yako G
 
mpwa waambie wana jf tulikupokelea wapi na tulikuwa tunafanya nini..........
hehehehe!!........
he he he yalikua ni maeneo ya Oceanic na Tulikua tunampakata bata!! ha ha ha nimeamini kua nyama ya Bata ya mbele ni Tamu na ya nyuma ina mafuta.........
 
hahaaaa, umenikumbusha mbali sana fide, from now on itabidi uwe mze wa choya au choo hiyo?!!

Hahahaha mzee hii J'mosi nitakuwa Dom hapo inapatikana kwa wingi lazima nidumishe mila kama kawa.
 
Kweli kabisa si unakumbuka niliambiwa nisipite ile njia ya SERENGETI SERENGETI kuna washomali wanadumisha mila na wasafiri hasa wa kiume? nikaogopa kugeuzwa boflo ila nitakuja nikipata nafasi.

Fidel80 kanambia eti ulisahau bwana mie nikasema namna gani pale Nguli anacheza Faulo na chama kubwa LA
 
Back
Top Bottom