Thanks Paka Jimy

PJ mbona mie hunitwangii naomba kutwangiwa simu tafadhari
shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
Hongera kaka PJ we ni mzalendo halisi wa JF
Si nilkuwa nakupa muda ili uwe na muda mrefu wa kuongea na naniliu!
Kama mshazoweana tayari basi nakutwangia fasta!
 
Karibu sana, Lakini yale mambo fulani yaachie Chalinze!...Huku ni Full-Ngurumo Ya Upako!

Jamani huyu kaka ana upendo wa pekee! nami nilipata ukaribisho nilipokuwa Moshi but sikuweza kwend A town! But my promise is there nikija huko lazima nije nikuone wangu....
 
ha ha ha kumbe kasema alisahau mie alinambia mipaka ilifungwa :rolleyez:

Dah mipaka ya nn tena Uhuru wa kuongea?
Dah nimeimiss sana UHURU hii mkoa napiga 3-5 hoi bin tabaani hata kudumisha mila nashindwa.
 
Si nilkuwa nakupa muda ili uwe na muda mrefu wa kuongea na naniliu!
Kama mshazoweana tayari basi nakutwangia fasta!
wapi Kaizer mzee wa Upako
Moyo unauma sikuoni!!
Roho imeingiwa na baridi
Ukimya wako unanitisha
Akili ime..freeze kutokusikia habari zako popote duniani
Mabinamu kaizer wapi jamani ???
 
Jamani huyu kaka ana upendo wa pekee! nami nilipata ukaribisho nilipokuwa Moshi but sikuweza kwend A town! But my promise is there nikija huko lazima nije nikuone wangu....

Mi nasafari ya Chuda karibu basi angalau ukale samaki wa angani.
 
wapi Kaizer mzee wa Upako
Moyo unauma sikuoni!!
Roho imeingiwa na baridi
Ukimya wako unanitisha
Akili ime..freeze kutokusikia habari zako popote duniani
Mabinamu kaizer wapi jamani ???

Kaizer nilikutana nae maeneo ya Tandahimba, wakati natokea Songea kuokota mafedha...ni mzima anawasalimia wote tena aliniambia amekumiss sana
 
Asante lakini naogopa mambo yako yalee......nasikia kuna maeneo ya magomeni ukikutwa na kifaa cha mtu unakodishiwa hadi matarumbeta na taarabu juu...lol hiyo mkuu naigopa lakini kama ni out of Dsm ni nitakuja....
 
ha ha Preta acha vituko nimecheeeka ..una akiba yoyote toka Songea kizuri tumia na mwenzio
 
wapi Kaizer mzee wa Upako
Moyo unauma sikuoni!!
Roho imeingiwa na baridi
Ukimya wako unanitisha
Akili ime..freeze kutokusikia habari zako popote duniani
Mabinamu kaizer wapi jamani ???

FL1, here I am!
 
Kaizer nilikutana nae maeneo ya Tandahimba, wakati natokea Songea kuokota mafedha...ni mzima anawasalimia wote tena aliniambia amekumiss sana

Asante Preta kwa kujali maslahi yangu!
 
Asante lakini naogopa mambo yako yalee......nasikia kuna maeneo ya magomeni ukikutwa na kifaa cha mtu unakodishiwa hadi matarumbeta na taarabu juu...lol hiyo mkuu naigopa lakini kama ni out of Dsm ni nitakuja....

sasa hapo nione mimi huyo mechi za ugenini haziwezi:rolleyez:
 
FL1, here I am!

Wapi hapo unajificha kama kakakuona Binamu sio vizuri hivyo...mpaka upigiwe baragumu ndo ujitokeze hata hivyo nimefurahi kuona maandishi yako ..moyo umetulia tuli kujua u mzima bukheri wa siha njema
Na tunaliendeleza gurudumua la JF.....Keep it up
 
Back
Top Bottom