Thanks GOD, thanks JamiiForums... I got it!

ndio maana hata alama nyingi za barabarani zimekorogwa kiholela holela, Engineers wenyewe ndio kama huyu mtu, anaandika kama hakwenda shule. Tanzania hakuna wataalam.
Tatizo utakuta engineer alifundishwa na walimu wa voda faster wenye div 4 point 29!matokeo ndo hayo
 
hongera sana mkuu..Toa zaka ili Mungu aendelee kulinda chanzo chako cha mapato ,kufungua madirisha mengibne na kuzuia wale wadudu watafunao..Pia sadaka ya Shukrani inahusika..yote ni kwa Utukufu wake..hakuna lishindikalo kwake yy aaminiye na Mungu wetu ni mwaminifu anatenda kwa wakati wake..
 
Hongera Sinziga, napenda kukupa taarifa kwamba huko mujini CHADEMA wamshinda Arumeru! umesema kwamba uko porini.So hii ndo habari kwa leo.

Ahsante sana.....aiseeeeee I like CHADEMA...najua ni implication mbaya sana kwa majitak ya CCM. Thanks for update
 
Tatizo utakuta engineer alifundishwa na walimu wa voda faster wenye div 4 point 29!matokeo ndo hayo

Ok,talk/say/write whatever u like, bt plse dont humiliate and attack a person coz of his/her background education!! Think what have u done to help our nation till this point...wewe mtaalamu!!
 
Hongera kwa kupata kazi Sizinga. My worry is about your signature; SAVE WATER, DRINK BEER! I afraid that you may up saving nothing form your salary! Take Care!
Hahaaa....thats only signature, it doesnt real mean....aiseee, bt good advice indeed!! thanks
 
hongera

tekeleza waliokuambia kuhusu lugha ulivyoandika tangu maneno ya mwanzoni hujaeleweka ulitaka haswa kusema nini.
hii itakusaidia katika kazi yako pia esp kama utaombwa uandike ripoti au mambo zaidi ya kikazi ya kuwapa wengine wasoma.

Usiwe na wasi wote tunajifunza mengi kila kukicha, ukipata muda ingia mtandaoni jifunze lugha hiyo ukitaka jinsi ya kutumia maneno, tafuta maneno tumia dictionary au thesaurus zinasaidia sana na hata wazungu wenyewe bado wanazitumia wakihitaji. Itasaidia kuto kukimbilia kuandika maneno bila kujua maana. mtandaoni unaweza pta mifano ya kutumia maneno na kuyaweka katika sentensi.

Kazi njema.
 
hongera tekeleza waliokuambia kuhusu lugha ulivyoandika tangu maneno ya mwanzoni hujaeleweka ulitaka haswa kusema nini. hii itakusaidia katika kazi yako pia esp kama utaombwa uandike ripoti au mambo zaidi ya kikazi ya kuwapa wengine wasoma. Usiwe na wasi wote tunajifunza mengi kila kukicha, ukipata muda ingia mtandaoni jifunze lugha hiyo ukitaka jinsi ya kutumia maneno, tafuta maneno tumia dictionary au thesaurus zinasaidia sana na hata wazungu wenyewe bado wanazitumia wakihitaji. Itasaidia kuto kukimbilia kuandika maneno bila kujua maana. mtandaoni unaweza pta mifano ya kutumia maneno na kuyaweka katika sentensi. Kazi njema.
sawa mkubwa...nitaanza kutafuta ripoti online, najua zitanisaidia sana!!
 
Hongera saana Sizinga,kumbuka kuwa kazi ni tamu na yenye kupewa thaman kabla mtu hajaipata lkn ukisa ipata na kuanza kupata mshahara basi inakuwa ni mitihani mikubwa,zingatia wajibu wako,ipende,shirikiana na wenzako,tumia elimu yako na ujuzi ulionao kuellimisha wengne,saidia jamii kwa kipato chako,saidia ndugu na watu wasiojiweza....
Zaidi ya hapo nakupa hongera zaidi, usitusahau humu sisi ambao bado hatujapata kazi,share na sisi vyote vinavyopaswa share nasi,ilinde kazi yako kwakuwa ndio itakuwa inakupa mkate wako wa kila siku,fanya kazi kwa bidii na kwa ufanisi,kwakuwa umeingia ktk moja kwa moja kama mlipa kodi na mjenga Taifa hili changa,onyesha ufanisi na ubunifu,Sizinga daima usijihusishe na mambo mabaya amabayo yanaweza iharibu kazi yako kama rushwa,ulevi(tofauti na unywaji pombe),anasa ,kutojenga maelewano na ofisi yako.....na mengne mengi tuu!
Sizinga kila la kheri ktk kazi yako mpya,imenipa hamasa na mwongozo kuwa kila jambo linawezekana na kwa muda husika!
Nikutakie maisha mema kwakuwa now ndio unaanza maisha,maisha bila mkate wa kila siku sio maisha!!!!!
 
Duh mkuu, you talked every thing...its like nipo class vile while reading...ndo najifunza life insuch n umeongele yote indeed, am happy with u..ubarikiwe bana!!
 
Ashukururiwe yeye aliye juu,
Ajua hitaji la kila mmoja wetu,
Ni suala la muda tu,
Yupi apate nini, wakati upi,
Hongera sana mkuu,
Fanya kazi uliyopewa,
maana uvivu ni chukizo kwake!
 
Ashukururiwe yeye aliye juu, Ajua hitaji la kila mmoja wetu, Ni suala la muda tu, Yupi apate nini, wakati upi, Hongera sana mkuu, Fanya kazi uliyopewa, maana uvivu ni chukizo kwake!
Ahsantesana..umeongea point sana kwamba uvivu ni chukizo!! Glory to God always
 
Back
Top Bottom