Thanks GOD, thanks JamiiForums... I got it!

Same way ma dad told....kwamba sadaka iwe ni habit yangu for every time...nashukuru kwa kukazia...that is it...ni sadaka na sio fungu la kumi

Hongera kwa kupata kazi Sizinga.

My worry is about your signature; SAVE WATER, DRINK BEER! I afraid that you may up saving nothing form your salary! Take Care!
 
Hongera sana kaka................m happy for you ila jua kuwa mtu kati ya watu ni zaid ya kuwa na kazi na mshahara kaka so be real na uendeleze chain ya kusaidiana japo kwa information
 
I had 1 month (30 days) as Engineer in one of the biggest Road construction Project. After severe suffer on looking for a job, et list now naanza kuwa
ndio maana hata alama nyingi za barabarani zimekorogwa kiholela holela, Engineers wenyewe ndio kama huyu mtu, anaandika kama hakwenda shule. Tanzania hakuna wataalam.
 
Hongera sana sizinga. Ngoja na mimi nifanye mchakato wa kuapply labda nitabahatika.
 
I had 1 month (30 days) as Engineer in one of the biggest Road construction Project. After severe suffer on looking for a job, et list now naanza kuwa mtu kati ya watu.

Namshukuru Mungu wangu na nawashukuru JF founders and members coz tangazo la hiyo kazi nililipata hapa hapa JF till final interview nikawa success!!

PROMISE:
Mshahara wangu wa kwanza nitamtolea Mungu wangu fungu la 10, na pia nitaichangia JF izidi kudumu na hata status yangu itabadilika from Expert JF member to PREMIUM, Soon!! Once more, thanks GOD, JF and all.

MY REGARD....SIZINGA.

Hongera sana na kila la kheri
 
Hongera!!God is good all the time!sio fungu la kumi tu,utoe na malimbuko (Firstfruits),more blessings will follow you
 
I had 1 month (30 days) as Engineer in one of the biggest Road construction Project. After severe suffer on looking for a job, et list now naanza kuwa mtu kati ya watu.

Namshukuru Mungu wangu na nawashukuru JF founders and members coz tangazo la hiyo kazi nililipata hapa hapa JF till final interview nikawa success!!

PROMISE:
Mshahara wangu wa kwanza nitamtolea Mungu wangu fungu la 10, na pia nitaichangia JF izidi kudumu na hata status yangu itabadilika from Expert JF member to PREMIUM, Soon!! Once more, thanks GOD, JF and all.

MY REGARD....SIZINGA.

Mkuu kwa % zake TOTOLUCKY anahusika, jamaa ni bingwa wa job updates aisee!
 
PROMISE:
Mshahara wangu wa kwanza nitamtolea Mungu wangu fungu la 10, na pia nitaichangia JF izidi kudumu na hata status yangu itabadilika from Expert JF member to PREMIUM, Soon!! Once more, thanks GOD, JF and all.

MY REGARD....SIZINGA.

Kila AHADI ni yenye kuulizwa na Mola.

Mola anasema katika kitabu chake kitukufu, qurani: ((..........Na timizeni ahadi. Kwa hakika ahadi itasailiwa)) [Al-Israa, 17:34]

Kwa hakika wamafanikiwa waumini ambao wanazitimiza amana zao na ahadi zao [Al-Mu'minuun, 23:8]

Jitahid ndugu sinziga utimize ahadi yako ili siku ya mwisho usije kuulizwa kuhusu ahadi uliyoiweka.

Hongera mkuu ila ukumbuke kumtolea Mungu fungu la kwanza kila unapopokea mshahara na siyo kwa mshahara huu wa kwanza tu.
 
si uliomba kazi ukapata kazi ni kwako sasa kupiga kazi..usione kazi kufanya kazi ukichezea kazi utajuwa kazi ya kupata kazi....chezea mshahara kazi ikupe heshma kwa watu.... HONGERA ENGINEER WA PORINI.
 
Hatutoi fungu la Kumi mshahara Wa kwanza, tunatoa mishahara yote, if you real want to thank God and make a difference, Toa shukrani mshahara Wa kwanza wote then fungu la Kumi forever, toezi zaka KAMIli ....

QUOTE=Sizinga;3590970]I had 1 month (30 days) as Engineer in one of the biggest Road construction Project. After severe suffer on looking for a job, et list now naanza kuwa mtu kati ya watu.

Namshukuru Mungu wangu na nawashukuru JF founders and members coz tangazo la hiyo kazi nililipata hapa hapa JF till final interview nikawa success!!

PROMISE:
Mshahara wangu wa kwanza nitamtolea Mungu wangu fungu la 10, na pia nitaichangia JF izidi kudumu na hata status yangu itabadilika from Expert JF member to PREMIUM, Soon!! Once more, thanks GOD, JF and all.

MY REGARD....SIZINGA.[/QUOTE]
 
Hongera kijana. Usibweteke. Pata eksipiriensi hapo mwaka tu uanze kusaka nyoka upya, kwa kuhama kazi unajenga cv na kujipandisha mshahara haraka. All the best
 
Hongera Sinziga, napenda kukupa taarifa kwamba huko mujini CHADEMA wamshinda Arumeru! umesema kwamba uko porini.So hii ndo habari kwa leo.
 
Glory be to God for you Sizinga, keep on giving the tith, and not the first salary only, u will see the goodness of our God as u remain faithfully to Him.again congrats!
 
Back
Top Bottom