njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 12,380
- 5,531
Wasukuma oyeee
[hahahaha]
Teacher we ni msukuma kumbe....
Wasukuma oyeee
[hahahaha]
Teacher we ni msukuma kumbe....
Anataka Gaijin nae mwaka huu afike Ikungulyabashashi.....
Hebu jaribu kuitamka Ikungulyabashashi
Mbona inatamkika kirahisi tu....kwan' vipi?
tamka tusikie...
Ikungul-ya-bashashi
*You should see my mouth while I'm at it :lol:
Ukimkubalia Gee na mimi unikubalie.
nani kasema ataenda nae? huyu dawa yake namtfutia wa kwenda naye SL
sema ana kiherehere huyo keshapeleka ombi kwa Ngabu, sasa akikwama shauri yake...lol!
Heheheheheheeee
Hivi unajua kuwa hiyo ni sehemu ya kweli na si ya kufikirika?
Heheheheheheeee
Hivi unajua kuwa hiyo ni sehemu ya kweli na si ya kufikirika?
Ndo kwa kina Companero huko au? :tongue:
kapatia kutamka?
Kajitahidi lol
Hapana, huko ni kwa Ngabu Sr.
Kwa Ngabu Sr si ndo kwenu au? ........mpaka uvuke mito na maziwa saba ndo ufike
Kwa Ngabu Sr si ndo kwenu au? ........mpaka uvuke mito na maziwa saba ndo ufike
Naikubali tuselebuke ila nachelea kuitwa You Lazy (Intellectual) African Scum! | Mind of Malaka
Kwa Ngabu Jr ni Oshkosh kwa watasha weusi wenzie