bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,860
Kweli lile taji nilokuvika sikukosea!Ngabu ana mke? Mbona sikualikwa shughuli
Miss....
Kweli lile taji nilokuvika sikukosea!Ngabu ana mke? Mbona sikualikwa shughuli
Kweli lile taji nilokuvika sikukosea!
Miss....
Basi huu uliukosa....Hujasikia kama ubwabwa wa shughulini mtamu?
Basi huu uliukosa....
Yalikuwepo matobolwa ndo maana hukualikwa. Wee mtoto wa kashata na mikate ya kumimina, vitu lainilaini, manumbu na matobolwa huyawezi.
Heheheeee inabidi uvizie isije kukupita fyuuuuuu!Hahaha haya, nitahudhuria ubatizo wa watoto
Ubaya upo...Kwani kuna ubaya?
Ubaya upo...
Ngoma za wahaya zinaweza zisiwe nzuri sana lakni uzuri wao hawaonei aibu utamaduni wao. ukienda kwenye sherere zao hata kama ni mjini atleast watu wataserebuka kijadi kwa ngoma moja au mbili..Wengine dah lugha na tamadni zao zinakufa na kupotea kwa kasi na ngoma ikiwemo.