TGIF: Yote tisa ngoma ni za Wasukuma, Wangoni na Wamakonde! hamtaki!!

Ukimkubalia Gee na mimi unikubalie.

nani kasema ataenda nae? huyu dawa yake namtfutia wa kwenda naye SL
sema ana kiherehere huyo keshapeleka ombi kwa Ngabu, sasa akikwama shauri yake...lol!
 
nani kasema ataenda nae? huyu dawa yake namtfutia wa kwenda naye SL
sema ana kiherehere huyo keshapeleka ombi kwa Ngabu, sasa akikwama shauri yake...lol!

khaaa! Mimi umesema nimelitoa nusu nusu, si ulitoe mwenyewe zima?

Sehemu yenyewe hata kuitamka tabu tupu
 
  • Thanks
Reactions: bht
Back
Top Bottom