Tff tafuteni chanzo cha fujo na si kukimbilia adhabu

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Ndugu zanguni unaweza kuwa na mtoto malaya ukamchapa ukamkimbiza ukamfunga akitoka anakuzalia na rafiki yako...kisa sio kwamba amekuwa tu malaya bali chanzo cha ile tabia ndicho muhimu si hivyo tu kwa watoto haata makazini
bosi mwenye akili akimbilii kumtwanga mtu memo kama mafamba wa sikuhizi wanaotaka kujulikana wametokea wapi ..hiyo sio soln hata kidogo

ndugu zangu wa tff kumekuwa na makelele mengi sana sana kuhusu fujo za timu ya yanga binafsi niko nyuma yako kwenye adhabu itakayotolewa yenye haki wala sina tatizo na nimatoka kuangalia iyo mechi natamani kuona wachezaji watakaoadhibiwa no wao halisi ama mtakurupuka kama wenzenu kamati ya ligi

sisemi ka ubaya ila naomba niweke wazi tangu swala la kupigwa kwa mh wetu yule niliempenda jinsi alivyokuwa akikimbia kinyume nyume ingawa mchezaji mmoja nimeona aliwahi kurusha ngumi nataka kuangalia kwenye adhabu ni mhusika halisi atakaedhibiwa ama lah....

Mwisho naomba tff waangalie swala la marefarii najua ni kamchezo mnachokajua na hili src bni nyie kwa kuwalipa hela ndogo ndio maana mnaafanya kama mabamerd wakauze pombe mshahara 25 alfu zinazobakia mkatafute kwa wateja...leo hii sipendi kulinganisha ma refarii kama ma abaamedi kabisa kabisa lakini ndio wanaishi kama baamedi wa tanzania ...kama meona baada ya mechi ya yanga na azam yameongelewa mengi mh alikula mpunga kutoka azam naomba nisiwe shahidi ila nilikuwa mfwatiliaji wa mechi za kligi aikuchukua muda mechi iliofwata ni yanga na villa ambapo kipindi cha pili viongozi wa villa walilia sana na refarii wa mechi si hivyo tu

mechi ya simba na mtibwa
kumekuwa na tatizo kubwa hili ni janga la taifa rushwa umenuka kutokaserikalini mpaka michezoni ni kaugonjwa kanachosambaa kama ukoma...ukiangalia mechi ya simba na mtibwa ile penalti sio penalti kabisa lakini ni kichekesho tu kikaendelea uwanjani

si hivyo tu mchezaji mmoja wa mtibwa nsa job alipigiwa simu amchana kwamba atocheza moja ya mechi ya ligi kkisa ana kadi tatu za njan o kitu ambacho sikweli..baada ya mechi tff wamekiri walikosea na wamejuta kwa nini awakuwajulisha mapema wakamwita masaa mawili kabla ya pre match

binafsi naomba nikueleze mh tenga huuugonjwa utaingia naomsikitini unapoelekea kama utaacha marefarii walipwe pesa ndogo na kuwaambia zingine mkatengeneze na timuhusika wallahi itakutokea puani na ipo siku ya misri yanarudi hapa tanzania..naomba pccb wawepokila mechi za ligi na frm pre match wawe wanafwatilia kila point ya mechi kwa hililabda mambo ya kijinga yataahchika
 
Back
Top Bottom