Tetesi za Matokeo Kidato cha Nne 2014

Kwani wizara ya elim haipo, humu kila mtu atakupa jibu lake tena bila source..
 
Msikate tamaa kwa uzoefu wangu matokeo yenu yatatoka mwanzoni wa mwezi wa pili,na mtafaulu tu hata hao wanaowakatisha tamaa nao wamelis ndo maana hawapendi kusikia neno matokeo ya form four,
Mimi nawambia kuwa watoe matokeo kwa jnina au namba it doesn't matter ww fikilia kufaulu na co kufeli mm nawaombea mungu mfikie level za kwetu za chuo kikuu,mungu yupo nanyi mtafaulu .
 
Back
Top Bottom