TETESI: Wahitimu wote wa Degree na Diploma kujiunga na JKT.

wawe wanafikiria cku hizi hamna kumjengea mtu uzalendo wa hivyo je wakitoka huko wataenda wapi ajira hakuna na mbinu za kijeshi wanazo c ndo ongezeko la majambazi kila kukicha. waache siasa .
 
Hatamaye taifa letu laandaa taifa lenye vijana wenye mafunzo ya kijeshi lakini hawana ajila,je!hawaoni kama wataongeza idadi ya majambazi wanaojua kutumia siraha za moto tena za kivita????.....Taifa letu laenda wapi jamani...
 
Huku hawafundishi mbinu za kijeshi wala nini ni kutesa watoto wa watu na kuwalimisha mashamba yao wanaita kazi za watu, ki2 cha kijesh labda kwata ambalo hata mgambo anajua
 
Back
Top Bottom