TETESI: Wahitimu wote wa Degree na Diploma kujiunga na JKT.

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,067
1,236
Kuna taarifa zimezagaa mjini kuwa wahitimu wote watajiunga na mafunzo ya JKT ili waweze kujengewa uzalendo na inasemekana ndo itakuwa sifa ya lazima ya mtu kuajiriwa serikalini.

Hii itahusisha wale wa Degree,certificate na diploma mwaka huu (2014) kwani hawa hawakubahatika kupita katika mafunzo hayo,ambayo kimsingi inasemekana yanafaida kwa nchi na ni hitaji la wakat kwa sasa.

Nasistiza hizi ni tetesi naomba mwenye taarifa kamili atujuze ,maana mdogo wangu toka wenzake wamtumie meseji hana raha.

Naombeni ushirikiano ili kama ni kwel tumuandae kisaikolojia na wengine wanaofanana naye.
 
Kuhusu certificate na diploma ni kweli kabisa but kwa wale wenye degree sijui japo inawezekana kuwepo kwenye mpango
 
mimi dogo kanieleza sikuamini kwani kambi zetu zimeshindwa ku-accomodate form six, sembuse wahitim elfu arobain wa vyuo vikuu.
 
diploma na certificate nadhan majina yameshatoko na kuna link humu ndani kuna jamaa aliuweka ila kwa degree sijui ngoja waje watujuze
 
hii imekaaje, mbona inachanganya form six wameisha
 
Intake ya pili inawahusu form six wote waliobaki, certificate wote na diploma watu kama elfu tatu hivi herufi A-J.
Wengine wote waliobaki wanaingia intake ya tatu january 2015
 
kaka nashukuru kwa hiyo ajira zitawakuta jeshin,je waliofel mfano diploma?
 
Kuna taarifa zimezagaa mjini kuwa wahitimu wote watajiunga na mafunzo ya JKT ili waweze kujengewa uzalendo na inasemekana ndo itakuwa sifa ya lazima ya mtu kuajiriwa serikalini.

Hii itahusisha wale wa Degree,certificate na diploma mwaka huu (2014) kwani hawa hawakubahatika kupita katika mafunzo hayo,ambayo kimsingi inasemekana yanafaida kwa nchi na ni hitaji la wakat kwa sasa.

Nasistiza hizi ni tetesi naomba mwenye taarifa kamili atujuze ,maana mdogo wangu toka wenzake wamtumie meseji hana raha.

Naombeni ushirikiano ili kama ni kwel tumuandae kisaikolojia na wengine wanaofanana naye.

I WILL NEVER EVER DO THIS NONESENSE AND I PROMISED SINCE BEFORE.

Zaidi ya kuwafanya madada zetu kuwa mademu zao.

Nchi hii ina matatizo mengi sana of which we have to focus.

We have no technology and our resources are taken every day abroad.

Kwa mashariti yoyote sitakwenda JKT.
 
Utaratibu huu wakujinga na jeshi la kujenga taifa(JKT) linawahusu wahitimu wote kidato cha sita na vyuo bila kujali umefaulu au umefeli. Kwa hiyo ndugu uliyeuliza kuhusu watu waliofeli wanatakiwa kuhudhuria mafunzo kama kawaida kwa mujibu wa sheria. Kutokwenda kwako unakaribisha mashitaka juu yako kwa mujibu wa sheria.
 
Kuna taarifa zimezagaa mjini kuwa wahitimu wote watajiunga na mafunzo ya JKT ili waweze kujengewa uzalendo na inasemekana ndo itakuwa sifa ya lazima ya mtu kuajiriwa serikalini.

Hii itahusisha wale wa Degree,certificate na diploma mwaka huu (2014) kwani hawa hawakubahatika kupita katika mafunzo hayo,ambayo kimsingi inasemekana yanafaida kwa nchi na ni hitaji la wakat kwa sasa.

Nasistiza hizi ni tetesi naomba mwenye taarifa kamili atujuze ,maana mdogo wangu toka wenzake wamtumie meseji hana raha.

Naombeni ushirikiano ili kama ni kwel tumuandae kisaikolojia na wengine wanaofanana naye.

Ni kwaajili ya walimu tuu
 
Back
Top Bottom