Tetesi. Mtoto wa kigogo kuhusishwa na bihashara ya kununua magogo - mbulu

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
547
70
Kuna habari kuwa hapa mbulu kuna msitu mmoja hujulikanao kama msitu wa tumati kuna mtoto wa kigogo ameununua. Inasemekana kuwa yeyr amenunua mti mmoja kwa ths 100,000 na kuiuzia shirika la umeme kwa tsh 1,000,000.
 
where we dare to talk openly..sasa unaficha jina lake la nini?au umesikia tetesi...
 
Kuna habari kuwa hapa mbulu kuna msitu mmoja hujulikanao kama msitu wa tumati kuna mtoto wa kigogo ameununua. Inasemekana kuwa yeyr amenunua mti mmoja kwa ths 100,000 na kuiuzia shirika la umeme kwa tsh 1,000,000.

Mkuu, Sishangai. hii nchi jamaa wameshajimilikisha wao familia zao na jamaa zao wa karibu. yaani sie wengine ambao hatupo kwenye system tumebaki watazamaji tu, wanahujumu tu rasilimali za taifa watakavyo kwa sababu system ni ya kwao. KWA KWELI NDUGU ZANGUNI WATANZANIA TUHARAKISHENIU KULIONDOA HILI LI ccm MADARAKANI. LIMESHINDWA VIBAYA KUTUTUMIKIA WATANZANIA.






Tuendeleeni kuwaelimisha wananchi, waelimike ili waling'oe madarakan hili li serikali la ccm MAONGO/MAJAMBAZI/MAFISADI/WAUAJI.
 
Jamani jana jioni nikiwa mbulu nimeona kwa machoyangu gari kubwa limebeba nguzo za kutosha ilikitoka mbulu nakuelekea njia ya karatu. Mnashangaa hayo mbona utata bado upo kwani kuna muwekezaji kachukuwa msitu wa ayadofa mbulu na mkataba eti umepotea
 
Mkataba huo umepotea katika ofisi za almashauri ya mbulu lakini madiwani wanahoji mbona hakujaripotiwa tukio lolote la wizi ktk ofisi hiyo lakini ikumbukwe mkataba huo aliwahi kukataa kusaini mwenyekiti wa almashauri kisa ulikuwa mbovu swali ni nani
 
sasa mbona hujaainisha kama magogo ya msitu hayaruhusiwi kukatwa, au kuna utaratibu gan unatumika kuyapata magogo?, nataka kujua huyo mtoto wa kigogo kakiuka utaratibu upi.
 
Chadema will not be different, we need total education to eradict Rushwa, lazima wafungwe all those walioiba au waliofanya biashara mbaya
 
Back
Top Bottom