Tetesi: Matajiri wa Mwanza hawajui kuvaa.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,916
Hizi tetesi nimezisikia muda mrefu sana, lakini leo ninachokiandika ni ushuhuda wa macho yangu.
Nipo Malaika Beach, amekuja tajiri mmoja mwenye viwanda vya kusimika samaki.
Amevaa shati la purple, suruali nyekundu na viatu vya blue.
Nlipotambulishwa almanusra nizimie.
 
Bujibuji,huwezi jua labda kaambiwa na mganga wake avae nguo za rangi hizo,kanda ya ziwa kuna mambo mengi ktk utajiri wao.
 
color combo......ndio wataalamu wa fasheni wanavyosemaga.....
 
Kanda yote ya ziwa katiza kwetu tarime jeans za mchelemchele zipo hadi leo. Hawajui kuvaa bana.
 
Hizi tetesi nimezisikia muda mrefu sana, lakini leo ninachokiandika ni ushuhuda wa macho yangu.
Nipo Malaika Beach, amekuja tajiri mmoja mwenye viwanda vya kusimika samaki.
Amevaa shati la purple, suruali nyekundu na viatu vya blue.
Nlipotambulishwa almanusra nizimie.
\
Wanaovaa siyo matajili. Pesa yao si ya kuvaa
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Oya Bujibuji kma vp wakaushie coz huwezi jua utajiri kaupataje? Muhimu hoa matajiri wabadilike.mbna wakna Bill Gate hawako hivyo?by Lugano
 
Kanda yote ya ziwa katiza kwetu tarime jeans za mchelemchele zipo hadi leo. Hawajui kuvaa bana.

Uwiii, tehe teheeee umenichekesha sana, nimekumbuka enzi za jeanz za mchele mchele na shati ya lazaro+ Boot.
 
Hizi tetesi nimezisikia muda mrefu sana, lakini leo ninachokiandika ni ushuhuda wa macho yangu.Nipo Malaika Beach, amekuja tajiri mmoja mwenye viwanda vya kusimika samaki.Amevaa shati la purple, suruali nyekundu na viatu vya blue.Nlipotambulishwa almanusra nizimie.
Kuvaa ni nini? Mmasai na mhindi, au M khoi-san na mchina nani anajua kuvaa? Kuvaa kuzuri ni kupi? Na ni nani anayevalue kupi ni kuvaa vizurì? Ukipata majb hayo then be back and edit ur thread!
 
Sio kweli kuwa hatujui kuvaa. Njooni Ukerewe muone kama hatuko sawa na nyinyi wa bandari salama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom