Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
Kwa sababu siasa imetawala maisha yetu wacha watuburuze wanavyotaka'
Kabisa, kulikuwa na haja gani ya madaktari kurudi kama walikuwa wanamuonea huruma mgonjwa? au kama waliamini thamani yao si hii wanayopata wakati huu? HEBU WATANZANIA TUJUE TUNACHOTAKA KWANZA, SI LAZIMA VIPATIKANE KWA MARA MOJA, LAKINI TUKIINGIA KWENYE KITU TUHAKIKISHE KUNA MABADILIKO!madaktari ni wasaliti wa damu ya watanzania
Kizungumkuti cha migomo kinashika hatamu kwa taarifa za chini chini madaktari kukianzisha na wafanyakazi wa nssf kukianzisha ijumaaa
mkuu walioshiba hawamkumbuki mwenye njaa!unataka nini? Tufanye kazi zisizo na maslahi ndizo ambazo zitaleta maendeleo? Unatumika vibaya.
Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu kuangalia njia mbadala ya kurekebisha hali. Mawazo yetu yatasaidia. Lakini kwa halli ya sasa ilivyo ya uchumi mishahara mikubwa haitawezekana na huo ndio ukweli. Ingawaje vitu vinaweza kufanyika mambo yakawa mazuri. PIa tusipende ku generalize issues. Sio wote walioko CCM ni wabaya na sio wote walioko upinzani ni wazuri huo ndio ukweli. Watanzania bado tuna ubinafsi mkubwa na hiyo inachangiwa na sera za nchi yetu.

Tatizo la watanzania ni lawama tu!matatizo ya madaktari sio yao wenyewe wala ya waalimu sio yao wenyewe ni kwa ajili ya watanzania wote,tulio wengi tunaonyesha support na misimamo yetu kwenye keyboard lakini sio kwa vitendo wala hadharani!SASA HIVI KILA MTU ATOTOKA KIVYAKE!UTAHUDUMIWA KIVYAKO NA KUMSOMESHA MTOTO WAKO KIVYAKO KWA NJIA UNAZOZIJUA WEWE.MADAKTARI WAKIGOMA MNALALAMIKA OH,LUDINI KAZINI JAMANI MASKINI TUNAKUFA,WAKIRUDI KAZINI OH NI WANAFIKI,WAJINGA,MAFALA NA MAJINA MENGINE MNAYOTAKA KUWAPA!WAACHE WAFANYE WANAVYOTAKA,ATAKAYETAKA KUONA WAGONJWA WAWILI KWA SIKU SAWA,ATAKAYEAMUA KUTOFANYA OPERATION MPAKA VIPIMO AMBAVYO HAVIKO HOSPITALINI SAWA ATAKAYEAMUA KUHAMIA SEHEMU NYINGINE SAWA,WHO CARES!Mkuu,madaktari wamefanya sehemu yao,kwanza watanzania wenyewe tulianza kuwarushia maneno na kuwahukumu kuwa si wazalendo na maneno mengi yamesemwa juu yao,serikali ilipata support kutika kwako mtanzania kuifanya hoja ya madaktari ilegee,and ujue kuwa serikali ilishazoea kufanya inavyopenda yenyewe na watanzania mnaosifika kwa upole na mnajivuna na hiyo amani ya makaratasini hamchelewi kubadilika.
Kweli madaktari hawawezi kukaa siku zote bila kwend kazini lakini imewavunja moyo sana na ninaamini hata kiwango cha utoaji huduma kipo ovyo,
hawawezi kufanya kitu,magamba ndo walioshika madaraka so,mgomo huu umekuwa mgomo baridi and nadhani utaerndelea forever.pia wameshafikisha ujumbe wao,kwa wale watanzania wapenda mabadiliko tumeona and personally nawapongeza kwa hili.
Walimu hao wanagoma,wamekuwa wakinyanyasika siku nyingi na wengi imewabidi kufanya kazi ambazo haziendani ni nidhamu ya kazi yao,leo wamegoma,watanzania nyie nyie mmeshaanza kulaum.
Mie naamini,hata roma haikujengwa siku moja!!ipo siku mbayo hainajina,haya yote yatakwisha.ona sasa hivi wameingilia maslai ya waajiliwakwa kutowapa stahiki zao mpaka 55yrs.tucta wanaandaa maandamano utaona kama watu wataenda au laa.yaani wa tz tunamatatizo sana,sijui nani atatusaidia.mungu tuokoe!!!