Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

Nan kakwambia JK anashida na ninyi waTz jiokoe mwenyewe nchi hii imejaa majogoo ya kuazima! yanapelekwa nje na kuwazalishia wengine tu,,,,

sijui kwanini huyu rais wa tanzania hataki kukiri kuwa nchi sasa haitawaliki.
 
sisi wa TZ hata RAIS wetu leo hii ashuke MUSA kuja kutuongoza bado ni tatizo 1ni wavivu hatujitumi tunataka mafanikio inshortcat..kazi kidigo malipo mengi kazi ya kufanya mu 1wanafanya 3 bado unaingi kazini mda wowote kusom MAGAZETI sana hatupendi kazi ndio maana kila mtu ni mw.SIASA.hebu nenda JAPAN au ISLAER hata huko SWISS watu wana jituma sisi huku ukiwa mwizi ww ndio Bigwa sasa viongozi wezi watu wa kawida wezi vipi inchi itabadilika tume laaniwa...nahata aje kiongozi gani hakutakua na JIPYA.....
 
Back
Top Bottom