Tetesi: Basi la Shabib lapata ajali lawaka moto, maiti kibao!

Ni Bus gani ni Shabib au Deluxe Bus, wana JF aliyeko karibu embu atupe za ndani, kika siku ajali, ajali till when
 
jamani emu toeni taarifa ya uhakika sababu hapa Dodoma mmetuweka roho juujuu sana..eeh Mungu tuepushe na hili..
 
Salaam Wanajamvi na watanzania kwa ujumla!

Niko kwenye basi kutoka Arusha kwenda Dar, na mwendo kidogo tu kufika kibaha maili moja tumekuta basi la shabiby (Dodoma - Dar route) limepinduka likashika moto na kuungua lote.

Nasikia ni watu 3 tu ndo wametoka angalau wakipumua. Kwa maneno mengi roho zote zimeangamia na hata hao watatu hatujui mwisho wao huko hospitalini

Kwa wale wenye uzoefu wa kusafiri la basi la shabib dom-dar watakubaliana na mimi kuwa huwa linapakia watu wengi na pia linaendeshwa kasi sana. And so you can imagine idadi ya watu walopoteza maisha.

Kwa hakika basi lote limeungua moto na kikosi cha fire & rescue cha manispaa ya kibaha imejitahidi kuzima moto but were probably too late and not enough.

Chanzo cha ajali hakikuweza kupatikana na wala picha sijaweza kupiga coz hatukuweza kushuka ndani ya basi letu. Mwenye taarifa zaidi atujuze

Mungu tunusuru na ajali hizi za kila siku ee Mola wetu.

Uwajalie mapumziko na amani ya milele wote hao waliotangulia mbele za haki. Amen
 
Duh, hebu mwenye japo kapicha atuwekee, poleni sana ndugu zetu
 
Mimi ni mteja mzuri sana wa basi la Shabiby......Naomba nikupinge hapo kwenye nyekundu mkuu....Shabiby ni mojawapo ya makampuni ya mabasi ya usafirishaji wa abiria mbayo inafuata sheria na taratibu za usafirishaji wa abiria,mwendo wao sio wa kasi kama ulivyoandika na kamwe hakuna utaratibu wa kusimamisha abiria(Niko tayari kusahihishwa hapa) wao siku zote wanafuata ule utaratibu wa 'level seat'.......

Pole kwa majeruhi na wafiwa...
 
Rest In Peace! Wote walipatwa na mauti! Kwani hakika naamini kama siyo kusudi la MUNGU,basi hakika tutajua tu. MUNGU WETU TUPE ULINZI WA MALAIKA WAKO WA KUTOSHA MAANA TUNAKWAMINI KWAMBA UNAWEZA YOTE JUU YA MBINGU NA HATA ARDHINI. Amen!!
 
Kwa sehemu kubwa sana ajali za barabarani zinazochinja maelfu ya ndugu zetu nchini pamoja na mambo mengine zinasababishwa na askari wa usalama barabarani kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo.RUSHWA inatafuna nchi!,,,kama tumelaaniwa vile!
 
Aaaagh!!kumbe hili li nyani ngabu limesettle hapa somewhere linakula ulabu nalimelewa njwiiii !na ndo mana linaongea mambo ya ki illuminant pambafu!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom