akili au matpe, watu tuna majonzi wewe unaongea mabo gani?Acha tu waendelee kufa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akili au matpe, watu tuna majonzi wewe unaongea mabo gani?Acha tu waendelee kufa!
Miafrika Ndivyo Tulivyo..
Acha tu waendelee kufa!
akili au matpe, watu tuna majonzi wewe unaongea mabo gani?
Mna majonzi lakini hamjifunzi. Hadi mfe wangapi ndo mjifunze? Ebo!!
unajua wengi hawakuelewi hapa, wanahisi unashangilia vifo vyao, kumbe jazba imekuzidi. taratibu tu mkuu, tutafika, hata hapa dar tunasubiri barabara za juu tuchinjane vizuri angani na hivi vimeo vyetu vya magari.
we NYANI NGABU hivi km kwenye ajali hy angekuwemo mama,baba au mwanao ungesema acha wafe? Naomba ufute hy post yk kbl MUNGU HAJAKUPA JARIBU KM HILO
Komredi..mimi siku hizi nikisikia kuna ndugu yangu wa karibu anasafiri na basi ninakuwa na kiroho dunda hadi atakapofika mwisho wa safari. Mi mwenyewe sipendi kabisa kupanda hayo mabasi.
Limungu gani litanipa jaribio kama hilo? Kwanza acheni kulisingizia hilo limungu katika hizi ajali. Hizi ajali ni makosa na matokeo ya watu kwa asilimia 100.