Tetesi: Basi la Shabib lapata ajali lawaka moto, maiti kibao!

Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
256
Ni taarifa nilizotumiwa na mtu aliyepo eneo la tukio ni eneo la Mlandizi bus lilikuwa linatokea Dar kwenda Dodoma.
 
maafa, maafa maafa, kila siku maafa, mara maafa ya risasi za sisiem kupitia polisi, mara maafa ya mfumuko wa bei, mara maafa ya umeme, maafa ya ukali wa maisha, aaaagh! maaaaaaaaaafaaaaaaaa twaaaafaaaaaaa.
 
Inasemekana ni watu wanne tu ndio wamefanikiwa kutoka. Tumwombe Mungu atuhepushe na hizi ajali
 
Jamani walio eneo la tukio watujuze zaidi. Mungu awape faraja wote walioachwa na wapendwa wao. Awape nafuu majeruhi wote!
 
Inasemekana ni watu wanne tu ndio wamefanikiwa kutoka. Tumwombe Mungu atuhepushe na hizi ajali

kwenye red hapo...yaani hawatoshi walipaswa kufa wengi!!! ....najua hujadhamilia na humaaninishi ninachokisema ila next kuwa makini
 
kwenye red hapo...yaani hawatoshi walipaswa kufa wengi!!! ....najua hujadhamilia na humaaninishi ninachokisema ila next kuwa makini

hujamuelewa kiongozi, anamaanisha walifanikiwa kutoka hai ni wanne (4) tu.
 
kwenye red hapo...yaani hawatoshi walipaswa kufa wengi!!! ....najua hujadhamilia na humaaninishi ninachokisema ila next kuwa makini

maana yake wengine woote wameteketea na moto,kuna mtu kapiga cm times kasema waliotoka kwenye gari watu nane na dereva ni wa9 kati ya watu 58 mygod
 
majanga yamezidi hatuna budi kuwaombea dua wenzetu waliotangulia mbele ya haki kwanii sote tunaenda njia moja
 
Kwakweli nyani ngabu huna utu

Wasio na utu ni hao madereva wanaoendesha bila kujali kuwa wamebeba binadamu! Watajifunza lini hao madereva?

Ajali ni ajali lakini sisi tumezidi! Ajali zetu nyingi sana zinaepukika. Ni hadi wafe wangapi ndiyo tujifunze? Nipe idadi tafadhali...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom