marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,655
Kumbe siku hizi Tendwa ndiye anayegawa vibali vya kuzungumzia maswala? Ngoja nikamwone fasta maana kuna issue natakaka kuzungumzia!
Ha ha ha ha!!!!
Kumbe siku hizi Tendwa ndiye anayegawa vibali vya kuzungumzia maswala? Ngoja nikamwone fasta maana kuna issue natakaka kuzungumzia!
Kwani Tendwa siku hizi kawa msajili wa "maneno na kauli"????
CCM tangazeni wazi kuwa Tendwa ni mwanachama wenu na anafanya kazi za chama
Tendwa akae kimya kabisa. Halafu kauli yake kuwa wakati Baba wa Taifa anakufa Vicent alikuwa mdogo sana ina mantiki gani? Sisi tunajua sasa mtizamo wa familia ya Nyerere kumhusu BWM. Na anatakiwa atoke hadharani ajisafishe, vinginevyo chuki zetu dhidi yake zitazidi mara dufu.
huyu mkapa naye sijui alianzia wapi kuhoji undugu wa vincent kwa mwalimu.
Alikosa hoja hivyo kujaribu kutumia njia nyepesi katika maswala ya msingi!! lengo lilikuwa kumdharirisha Vicent Nyerere!!!
Kwa kauli hiyo Tendwa amezidi kuthibitisha ukweli wa alichosema Vincent Nyerere kuhusu kifo cha mzee wao.