Tendwa awapiga stop BWM na Vicent kumzunguzia mwl Nyerere

Hamjui Dogo,ngoja aje Amfyatukie aone ohooo,wazee wengine wamekaa mbali yeye kajisogeza mtaskia
 
hawa wazee wa Magamba itawabidi wakapumzike, waachane na siasa! Vinginevyo wataumbuliwa zaidi na mwisho wake watamfuata D Balali alikojichimbia!!!
 
Mkapa unemuua BABA WA TAIFA!! Dhambi hii haita kuacha itakutafuna mpaka unaingia kaburini. TAIFA ZIMA LINAKULAANI KWA KUMUUA MPENDWA WETU.
 
Tendwa anatakiwa ajue kauli zake ni petroli kwenye moto so bora akae kimya
Hawa wazee wetu upeo wao wa kufikiri umefikia kikomo wanaanzisha jambo kimzaha mzaha hawaangalii madhara yake, hapa wao wamelenga mwisho wa kampeni nani afaidike hawaangalii baada ya kampeni itakuwaje, ni sawa na issue ya washili alikuwa anaona kama kitu kidogo ndio maana akaropoka vile.

Hii issue si ya kutuliza kupitia vyombo vya habari zinatakiwa busara za hali yajuu. Uzuri wetu sisi humu JF huwa tunasema na kuchambua pros and cons mapema tunaacha wao waamue kutumia au kuacha kama tulivyotahadhalisha issue ya washili. Na sasa tunasema mara nyingi issue kama hizi za kifamilia si za kuingia kichwa kichwa anaweza kupelekea kumponza mmojawapo akatimuliwa kwenye familia. Halafu issue yenyewe imekaa vibaya aangalie na yeye asije akawa victim.
 
Mkapa unemuua BABA WA TAIFA!! Dhambi hii haita kuacha itakutafuna mpaka unaingia kaburini. TAIFA ZIMA LINAKULAANI KWA KUMUUA MPENDWA WETU.

This guy anaugonjwa gani? anapenda sana majukwaa,napendekeza aachie nafasi yake aje tupambane jukwaani.

Tendwa najua unapita hapa,pick this from me,mpaka Mkapa atakapoomba msamaha adharani tutaacha kuzungumza,mwambie asiangaike kuomba suluuu kwa kumpigia mtu simu.,

Mwisho tunakaribia kukuchoka kwa namna unavyotumia uzee wako,it is better you stop talking about politics now,unakumbuka juu ya waashiri,unaona walivyokuumbua sasa endelea,ngoja tuingie kazini.

Nitarudi kujua umenijibu nini.
 
Natamani mimi ningekuwa Vincent Nyerere Tendwa angeona nyekundu tupu.
Amkanye BWM kuropoka hovyo, ameshushuliwa sasa wanatafuta pakumhifadhi dogo kaweka wazi kifo cha MWL kina mkono wa mtu na BWM anahusika kazi kweli kweli
Vincent anachotakiwa aseme neno moja tu 'asituingilie' haya ni mambo ya kifamilia Tendwa atanyamaza kwa aibu kama alivyonyamaza mambo ya wazee wa kishili.
 
amepiga marufuku au amewaomba? Anamamlaka ya kumzuia mtu kusema anachoamini?(kikatiba na kisheria) na je huku si kuingilia uhuru wa kutoa maoni? This country bwana sijui who z who....

Mkuu Umenena, Vicent akijisikia kuzungumza hilo swala azungumze na waende mahakamani. Huyu tENDWA anakiuka katiba ya nchi kwa mashali ya wauaji.
 
Tulipata Uhuru wa bendera toka kwa Mwingereza kisha tukajiingiza katika ukoloni na utumwa mpya chini ya wakoloni weusi wa Chama kimoja.
Tendwa hayuko huru ni mtumwa, kiti anachokalia kina seng'enge na mbigili, mdomoni wanamtia pilipili bila yeye kupenda.

Nadhani anajaribu ku control watu wanachosema katika kampeni za uchaguzi.

Hajui kwamba ni haki ya kila raia kusema kuongea na kutoa maoni yake???

Kwa jitu zima, limesoma Kichwa kikubwa na kipara juu, miguu mifupi mapaja makubwa, tumbo kubwa, mikono minene na mifupu na mashavu kama mimba ya mbuzi kuamua kusema Vicent Nyerere si wa familia ya mwalimu huku likijua wazi Vicent amekulia msasani kwa baba yake mkubwa Julius, ni ukosefu hekima na mwenendo wa kimaadili.

Vicent ni kijana mdogo sana, Mkapa ni Kishaibu kinene,kijizi na kiongo cha kutupwa na sasa kina tuhuma za kuua. Ni busara ya wapi ilikifanya kishaibu hiki kianzishe mazungumzo yasiyo na maadili?

Mijitu mingine bwana! Inaheshimiwa lakini yenyewe haijiheshimu hata kidogo.

Ooh! Kuna siku jitu litachojoa kaptula hadhara ku prove jambo.
 
This guy anaugonjwa gani? anapenda sana majukwaa,napendekeza aachie nafasi yake aje tupambane jukwaani.
Dada yangu Josephine hujui Ofisi ya Msajili wa vyama ni chama cha 20 cha siasa kilichosajiliwa nchini na mwenyekiti wake ni John Tendwa? Kwa hiyo mnapoingia kwenye uchaguzi mjue mnapambana na Invisible political party-IPP.
 
Kwani Tendwa siku hizi kawa msajili wa "maneno na kauli"????

CCM tangazeni wazi kuwa Tendwa ni mwanachama wenu na anafanya kazi za chama
 
huyu matamko yake hayana uzito..juzi tu ametoa tamko lema asiende AM eti wazee wa kule wamemkataa.. lema ametia timu tena kwa mbwembwe nyingi leo anataka kujibinafsishia jina nyerere kanakwamba yaye ndio mwenye hati miliki..anajaribu kijikinga baridi kwa neti.!
 
This guy anaugonjwa gani? anapenda sana majukwaa,napendekeza aachie nafasi yake aje tupambane jukwaani.

Tendwa najua unapita hapa,pick this from me,mpaka Mkapa atakapoomba msamaha adharani tutaacha kuzungumza,mwambie asiangaike kuomba suluuu kwa kumpigia mtu simu.,

Mwisho tunakaribia kukuchoka kwa namna unavyotumia uzee wako,it is better you stop talking about politics now,unakumbuka juu ya waashiri,unaona walivyokuumbua sasa endelea,ngoja tuingie kazini.

Nitarudi kujua umenijibu nini.

kumbe na wewe ni mwanasiasa? I thought ni mchumba wa Dkt tu..keep it up
 
Nadhani, kuna haja ya kufanya uchunguzi yakinifu ni nini kimewakuta wazee wa nchi yetu, sababu kwa uelewa wangu Wazee ndio watu ambao Kauli zao zinakuwa na busara na zenye nguvu ya kuleta suruhu katika Taifa, sasa haya ninayoyaona kwa wazee wetu nashindwa kuelewa ni wao ndio wenye matatizo au mimi.

Nadhani ndio maana CCM imewatoa kwenye vikao vyao kuna kitu imegundua lazima. naomba tuchunguze Jamani.
 
Nyerere ni baba wa taifa,
siyo baba wa familia ya akina vicent tu,
tendwa na wenzie waseme kilichowafanya watuulie baba yetu.
 
Tulipata Uhuru wa bendera toka kwa Mwingereza kisha tukajiingiza katika ukoloni na utumwa mpya chini ya wakoloni weusi wa Chama kimoja.
Tendwa hayuko huru ni mtumwa, kiti anachokalia kina seng'enge na mbigili, mdomoni wanamtia pilipili bila yeye kupenda.

Nadhani anajaribu ku control watu wanachosema katika kampeni za uchaguzi.

Hajui kwamba ni haki ya kila raia kusema kuongea na kutoa maoni yake???

Kwa jitu zima, limesoma Kichwa kikubwa na kipara juu, miguu mifupi mapaja makubwa, tumbo kubwa, mikono minene na mifupu na mashavu kama mimba ya mbuzi kuamua kusema Vicent Nyerere si wa familia ya mwalimu huku likijua wazi Vicent amekulia msasani kwa baba yake mkubwa Julius, ni ukosefu hekima na mwenendo wa kimaadili.

Vicent ni kijana mdogo sana, Mkapa ni Kishaibu kinene,kijizi na kiongo cha kutupwa na sasa kina tuhuma za kuua. Ni busara ya wapi ilikifanya kishaibu hiki kianzishe mazungumzo yasiyo na maadili?

Mijitu mingine bwana! Inaheshimiwa lakini yenyewe haijiheshimu hata kidogo.

Ooh! Kuna siku jitu litachojoa kaptula hadharani ku prove jambo.

Mkuu kama hii mitusi yote ni ya BWM wewe BAN ni halali yako
 
Back
Top Bottom