Tendwa awapiga stop BWM na Vicent kumzunguzia mwl Nyerere

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Baada ua mtu mzima kuumbuka Tendwa aamua kumvika nguo kwa kuwapiga marufuku kumzungumzia mwl kuwa itajenga chuki na ikisapotiwa na Steven Wasira.

My take

Tendwa nae ni janga la kitaifa
 
Waliopigwa stop ni hao wawili tu au watu wote hata sisi humu JF, halafu ni kwenye kampeni tu au hata nje ya kampeni maana ninavyojua yeye ana dili na vyama vya siasa pekee, sidhani kama ana mamlaka hayo ingekuwa mahakama sawa lakini hata yenyewe in mipaka yake.
 
Tendwa anatakiwa awataje wauaji alioongea nao nakusema watamuua Mh. Lema pindi afikapo Arumeru ili wachukuliwe hatua za kisheria kwa kupanga mauaji, na pia kama kiongozi mlezi wa vyama vya siasa baada ya kupata habari hizo na yeye mwenyewe kuzitoa, amechukua hatua gani wakati akiona kabisa kuna uvunjifu wa amani unaotaka kutokea?
Sasa hivi ndio anazinduka tangu yale mapombe makali aliyokuwa anabwia kule AR.
 
Kubabako zako tendwa kweli ni Disaster hapa nchini, Mkapa aliyatibua mwenyewe sasa ya nn we unamkingia kifua, kwani yale ya kusema eti wazee wa kimila hawamtaki lema haikijenga chuki? Kufumbia macho propaganda za udini igunga yote ulikuwa huyaoni? Sasa mwache mkapa anywe aliyoyakoroga.
 
Natamani mimi ningekuwa Vincent Nyerere Tendwa angeona nyekundu tupu.
Amkanye BWM kuropoka hovyo, ameshushuliwa sasa wanatafuta pakumhifadhi dogo kaweka wazi kifo cha MWL kina mkono wa mtu na BWM anahusika kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom