Tendo la ndoa ni muhimu katika maisha ya mwanadamu

Mapenzi ya cku hz yamejaa ukimwi na utapeli hero kukaa tu kufanya mambo yako ya msingi kama mm nilivyoamua
 
Umesahau kuandika hupunguza hasira za mara kwa mara.
asante mtaalamu kwa elimu nzuri uloileta kwetu lakini wengine sisi tunapata wakati mgumu sana kwa wake zetu ukionekana unaomba unyumba walau mara mbili tatu ndani ya wiki mke anakupa jibu la ajabu, unaambiwa kwani ni chakula hiki kwamba usipopewa utakufa na maneno mengi tu hadi inakera unatamani usioe kabisa uwe na malaya tu wa nje pindi ukijisikia unapitia unagonga afu unasepa basi...kumbe ni afya na inaimarisha mifupa na kuondoa stress/msongo wa mawazo safi sana nitamwelekeza my wife faida yakunipa utamu ni iimarishe afya na kuongeza miaka ya kuishi
 
kaa mueleweshe taratibu. ukitaka asikunyime mtishie umwambie "angalia nisichepuke" walah atakuwa hakujibu tena vbaya
 
Sio kila ushauri unaopewa bas uutumie,
maana wengine wanafikiria kuongeza vidumu,wenye wenza walioko mbal wanafikilia kuchukua wafanya kaz wa nyumban..
acheni hiyo tabia,
haya ni mambo ya kufikirika tu!
 
Mkuu, asante kwa mada nzuri, kuna mapungufu nimeyaona kwa upande wangu. Kumbe inanibidi niongeze kasi kidogo.
 
hakuna kitu hapo mbona mie sina huu mwaka wa pili na niko fresh tu....Vingine nikujiendekeza tu naona hakuna cha nin wala nin tafiti mambele sio bongo

The Way You Twist Your Mind,The More you Body Adapt
 
Hauko sawa hata maandishi yanaonyesha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom