Tendo la Ndoa: Faida/umuhimu wa kushiriki tendo hili

Hapana Sex sio hitaji la msingi kwa mwanadamu....

Kibailojia kutokana mfumo wa vichocheo na lengo kubwa la ngono, kuna kipindi fulani tu ndio mwanadamu huwa na mahitaji ya kingono...

Hayo mahitaji uliyoyaanisha hapo juu ni mahitaji muhimu pasipo kujali rika wala umri wala abnormalities zozote...

Pamoja na hayo baadhi ya wanasayansi wamekuwa wakijaribu kuja na mlolongo wa mahitaji makuu muhimu ya binadamu na mara zote hawajawahi jumuisha ngono kama hitaji muhimu:

1. Clean environment
2. Adequate supply of water
3. Clothing
4. Nutritious food
5. Shelter
6. Health care
7. Communication
8. Fuel and lighting (Energy)
9. Access to education
10. Cultural and spiritual engagement
 
I wont call sex a basic need coz we can survive without it we wont die if we dont have sex!And that need too varies from One person to another.With other people sex is such a big deal to an extent they might do anything to have it while to others its just SEX and it doesnt matter.The only problem is that TUNAJIENDEKEZA na kukimbilia vitu kabla wakati wake...enzi za wazazi wetu they would not have sex until marriage and they were fine!

gud, umetsha.
 
Watu wamekaa saa zote hawatafuti mambo ya maendeleo na manufaa ya kufanya wanawaza sex tu unafikiri ni chakula hio..loh

^^
tena siku hizi hata lunch ni sex,dinner for sex,breakfast for sex...na biashara nzuri ni gesti
^^
 
Hapana Sex sio hitaji la msingi kwa mwanadamu....

Kibailojia kutokana mfumo wa vichocheo na lengo kubwa la ngono, kuna kipindi fulani tu ndio mwanadamu huwa na mahitaji ya kingono...

Hayo mahitaji uliyoyaanisha hapo juu ni mahitaji muhimu pasipo kujali rika wala umri wala abnormalities zozote...

Pamoja na hayo baadhi ya wanasayansi wamekuwa wakijaribu kuja na mlolongo wa mahitaji makuu muhimu ya binadamu na mara zote hawajawahi jumuisha ngono kama hitaji muhimu:

1. Clean environment
2. Adequate supply of water
3. Clothing
4. Nutritious food
5. Shelter
6. Health care
7. Communication
8. Fuel and lighting (Energy)
9. Access to education
10. Cultural and spiritual engagement

^^
O.K kwa mwenendo wa kizazi cha sasa,,unadhani kuna wakati litakuwa hitaji la lazima?
^^
 
Is not a basic need. Inaposemwa 'basic' inamaanisha ni hitaji la mwanadam yeyote. Mwanadamu yeyote (mtoto &mtu mzima). Na pia inapotokea matendo ya huruma food, shelter and clothing ni vitu ambavyo unaweza ukapatiwa. But sex is not matendo ya huruma. Sex is luxury need.
 
^^
Itafaa kwa afrika kweli? Kuwa somo la darasani
^^

Hmm!
Mkuu kumbuka mtoto husoma kwa vitendo!
Ukimpa matheory (zile anazoweza kuzipractice) ni lazima atatest!!!!
....
Vitoto vya kiafika ukifundisha mambo hayo, vinaanza ujuaji mapema sana!!
...
Mi nahisi vitoto b4 maturity, visisomeshwe hili somo la uchuro!
Kama hauamini nenda hizo shule za Tz zinazofundisha, shughuli huanza humohumo class, vitachekacheka mbele ya Ticha! Ticha akitoka tu vinaanza kujadili!
...
'STAY SAFE DON TRY THIS AT HOME OR SCHOOL'!!
 
^^
Lakini halielezi kadri wanavyolijua I mean wanafunzi wanajua sex styles,wanaijua practically,je imefika mahali waelezwe kila kitu maana ni hitaji la lazima?
^^
Mh sikubaliani kwamba iwe kuhusu sex styles thats not appropriate itakuwa sahihi zaidi wakifundishwa inakuwaje mpaka mtu apate mimba,Preventive methods gani zinaweza kutumika kuepukana na hilo,How to use a condom,wakipatwa na tatizo lolote wahudhurie sehemu gani....
 
Hmm!
Mkuu kumbuka mtoto husoma kwa vitendo!
Ukimpa matheory (zile anazoweza kuzipractice) ni lazima atatest!!!!
....
Vitoto vya kiafika ukifundisha mambo hayo, vinaanza ujuaji mapema sana!!
...
Mi nahisi vitoto b4 maturity, visisomeshwe hili somo la uchuro!
Kama hauamini nenda hizo shule za Tz zinazofundisha, shughuli huanza humohumo class, vitachekacheka mbele ya Ticha! Ticha akitoka tu vinaanza kujadili!
...
'STAY SAFE DON TRY THIS AT HOME OR SCHOOL'!!
Hii ya kufundishwa kuhusu sex watu watalipinga sana kwasababu tunakiuka desturi na tamaduni zetu lakini we have to weigh the positives against the negatives and its time to do so,Ili kuepukana na tatizo hili this has to be taken into consideration...Watoto wanapenda kujaribu hio ni sahihi lakini wakifundishwa HATA wakijaribu watakuwa na consious na wanajua nini wanafanya na consenquences zake.Na kipi kinachokufanya ufikirie wasipofundishwa hajawajaribu?
 
Hapana!!!!!! Sikubaliani kabisaa na hii mada maana there are some people who because of low hormones, previous trauma, or some diseases really do not think about sex halafu bado kuna ma sister na padri hao wamejitoa muhanga kutofanya hilo tendo.

*sex is not a need..... It's more of a want*
 
Nooooooooo....!

Mh sikubaliani kwamba iwe kuhusu sex styles thats not appropriate itakuwa sahihi zaidi wakifundishwa inakuwaje mpaka mtu apate mimba,Preventive methods gani zinaweza kutumika kuepukana na hilo,How to use a condom,wakipatwa na tatizo lolote wahudhurie sehemu gani....
 
Hii ya kufundishwa kuhusu sex watu watalipinga sana kwasababu tunakiuka desturi na tamaduni zetu lakini we have to weigh the positives against the negatives and its time to do so,Ili kuepukana na tatizo hili this has to be taken into consideration...Watoto wanapenda kujaribu hio ni sahihi lakini wakifundishwa HATA wakijaribu watakuwa na consious na wanajua nini wanafanya na consenquences zake.Na kipi kinachokufanya ufikirie wasipofundishwa hajawajaribu?

Hivi vitoto ni vi-engineer hata sijui vinajifunzia wap una vikamata vimeshikamana kama ma expert vile.
 
Mimi49 Ni bora wakafundishwa huko mashuleni tangu shule za msingi ili wejue uhalisia ila iwe kwa hatua, mfano kuanza kuyafahamu maumbile yao na tofauti zilizopo kuliko wanavyokuja kujulia mtaani tena kwa kuelezwa na marafiki ambao nao wanajua kwa uzoefu, huku wazazi ama walezi wakiogopa ama kuwaficha.
 
Himidin I think so... and that subject will elite people different thinks e.g how to avoid STD, HIV, Unwanted pregnant etc

People will know how to protect themselves
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom