Temba wa wanaume family

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Huyu mtu ananikera sana na tabia yake ya kukaa na kijiti mdomoni....

nyie marafiki zake mwambieni huo ni usela mavi...aache kuiga ujinga....

temba.jpg
 
kwanini unamuangalia? Ili ujisikie vizuri maishani,epuka kuwa karibu na vitu vinavyokufanya ujisikie vibaya. Binafsi huwa sisomi magazeti ...!
 
Kelele za vyura hazimzuii tembo kunywa maji, hakuna tatizo lolote kwa Mh Temba kuweka toothpick mdomoni kina mtu na staili yake katika usanii mbona Nelly alikuwa anaweka plasta karibu na jicho, na wasanii wengine wengi, usikurupuke.
 
Mm pia simpendi..sio kwa sababu ya kijiti mdomoni..ila kwa sababu hajui kuchana! halafu anajiita rapper! nyimbo zao na yule mwenzie chegge! sijui ni mdundiko, kiduku, au chakacha! midundo na tone zilizomo haitambulishi aina ya muziki wanaoimba!
 
alikua anamuiga pdiddy. unajua watoto wa temeke wanajisifia kula. ndo maana kila nyimbo zao lazime wadokeze msosi(nyama choma) au vinywaji. so hapo anawalingishia wenzake wa tmk kwamba kala nyama. Mia
 
alikua anamuiga pdiddy. unajua watoto wa temeke wanajisifia kula. ndo maana kila nyimbo zao lazime wadokeze msosi(nyama choma) au vinywaji. so hapo anawalingishia wenzake wa tmk kwamba kala nyama. Mia

Ur not serious- poor comment.
 
ni sawa na masai tu wanavyotembea na miswaki yao ya miti mdomoni na kitana nywele kikiwa kichwani
 
mbona mzuka tu.. C stail yake bhana.. Mimi anachoniudh n kuimba matusi kila track
 
alikua anamuiga pdiddy. unajua watoto wa temeke wanajisifia kula. ndo maana kila nyimbo zao lazime wadokeze msosi(nyama choma) au vinywaji. so hapo anawalingishia wenzake wa tmk kwamba kala nyama. Mia
ah haaa haaa haaaaaa..................meipenda hii mkuu
 
Hiyo style waliitoa kwa mbabe na mkali wa kucheza filamu za hatari Sylivester Stallone aka RAMBO.Kwenye filamuiitwayo Cobra ndio style aliyokuwa nayo na njiti ile alikuja kuonyesha faida yake alipoiwasha na kumchoma adui yake.So sio kweli kuwa ameitoa kwa Pdidy.Naye Pdidy aliiga.Kujua zaidi nani alimuiga nani Filamu hiyo ilichezwa mwaka1986 ,sasa sijui temba na Pdidy walikuwa wapi kwenye ulimwengu wa sanaa.
 
Sio kilakitu cha kuiga....hata toothpick inapotumiwa hua mtu anajifunika kwa mkono mmoja mdomoni huku akichokoa nyama kwenye meno kwa kutumia mkono mwingine, hii yote ni kuonyesha kuwa kile kitendo kinaweza kumtia mtu kinyaaa...sasa huyu jamaa kutwa nzima yupo nacho....yawezekana kaiga kwa pdiddy au rambo kama mnavosema lakini wale huitumia kwenye shughuli flani tu, either kwenye movie au vinginevyo lakini hadi kwenye mahojiano ya tv yupo nacho mtaani yupo nacho watu wa temeke bwana ushamba tu.....mwambieni huo ni usela mavi.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom