Temba wa wanaume family

unamchukia mtu usiemjua!!! khaa! ye anajua kama unamchukia??!uozo tu!!huna la kufanya ndo maana unaendekeza chuki za kizandiki!
 
Jamaa ni AIRE jah man kula kula kujaa mavi kijiti lazima kiwepo mda wowote ni msosi tuuu tena nyama!!
 
Sio kilakitu cha kuiga....hata toothpick inapotumiwa hua mtu anajifunika kwa mkono mmoja mdomoni huku akichokoa nyama kwenye meno kwa kutumia mkono mwingine, hii yote ni kuonyesha kuwa kile kitendo kinaweza kumtia mtu kinyaaa...sasa huyu jamaa kutwa nzima yupo nacho....yawezekana kaiga kwa pdiddy au rambo kama mnavosema lakini wale huitumia kwenye shughuli flani tu, either kwenye movie au vinginevyo lakini hadi kwenye mahojiano ya tv yupo nacho mtaani yupo nacho watu wa temeke bwana ushamba tu.....mwambieni huo ni usela mavi.....
Na yule wa kupigana kila kukicha na hakai Temeke SIYO MSELA MAVI AU SI MSHAMBA? Ndo maana mnapata shida huko mnakoishi kwenye NYUMBA YA KUPANGA, YA MAMA au ya makuti kwa vile tu JIRANI ANA GHOROFA, SHOW ROOM....etc. KUMBUKA USHAMBA WA MTU HAUTOKANI na mahala anapoishi bali MATENDO YAKE...
 
Ur not serious- poor comment.

wasikilize. kwa mfano kwenye wimbo;
1.dar-moro. kwenye friji vimiminika na makulaji..
2.nampenda yeye-sema nini unataka" chips kuku"
3.changanya mishikaki pilipili kwa mbali katika wimbo wa twende zetu. yaani wao kila nyimbo zao lazima waongelee misosi na vinywaji. ningekuwa nmetulia ningekuwekea kama nyimbo 20 za wasanii wa temeke. Mia
 
mia umenikosha sana aahahahhaahahahahhahahha full kutaja majina ya misosi hahahah. Mia
 
angekua anamjua angemfata akamwambia! wengine hayatuhusu!!!

jina lako nani?? feis buku....
upo karne gani?? 21
ukitaka kumpa mtu habari kijana wa kisasa unatumia njia gani?? unafunga safari unapanda daladala unamfwata alipo then unamwambia....???????

crap...!! change jina lako maramoja jiite stone age not feisbuku....
 
mtindo wa maisha ya mtu awe mashuhuru au la ni swala lake yeye siamini kuwa hata wewe kama watu wote wanaipenda staili yako ya maisha iwe ya kishamba au ya kijanja so waweza kuwa ni mmoja wa wale ambao hata yeye temba haipendi stail yako ya kijanja kwani yeye anaipenda ya kishamba kwa maelezo yako
 
jifunzeni kuheshimu maisha ya watu wengine ikiwa tu hawavunji sheria na hawana madhara yoyote kiafya, kiimani na kitamaduni. mnapewa mifano ya mastaa kibao duniani waliochagua styles fulani na inakuwa poa tu. tatizo mnaendekeza
sana! mtapata shida mkienda nje ya bongo, angekuwa anajichokonoa akitembea nacho kweli lakini yeye anaweka tu.

Sio kilakitu cha kuiga....hata toothpick inapotumiwa hua mtu anajifunika kwa mkono mmoja mdomoni huku akichokoa nyama kwenye meno kwa kutumia mkono mwingine, hii yote ni kuonyesha kuwa kile kitendo kinaweza kumtia mtu kinyaaa...sasa huyu jamaa kutwa nzima yupo nacho....yawezekana kaiga kwa pdiddy au rambo kama mnavosema lakini wale huitumia kwenye shughuli flani tu, either kwenye movie au vinginevyo lakini hadi kwenye mahojiano ya tv yupo nacho mtaani yupo nacho watu wa temeke bwana ushamba tu.....mwambieni huo ni usela mavi.....
 
mm pia simpendi..sio kwa sababu ya kijiti mdomoni..ila kwa sababu hajui kuchana! Halafu anajiita rapper! Nyimbo zao na yule mwenzie chegge! Sijui ni mdundiko, kiduku, au chakacha! Midundo na tone zilizomo haitambulishi aina ya muziki wanaoimba!

chuki binafsiiiii
makazini
majumbani
na mitaani oooh
mpaka ni kero
inaweza kuzua tafaraniii
 
jifunzeni kuheshimu maisha ya watu wengine ikiwa tu hawavunji sheria na hawana madhara yoyote kiafya, kiimani na kitamaduni. mnapewa mifano ya mastaa kibao duniani waliochagua styles fulani na inakuwa poa tu. tatizo mnaendekeza
sana! mtapata shida mkienda nje ya bongo, angekuwa anajichokonoa akitembea nacho kweli lakini yeye anaweka tu.

kwani nipo wapi??? we umeenda wapi so far....?? hayo sio maisha yake...hakua hivyo....kaiga upuuzi....we ukimwona for the first time yupo hivyo the first impression juu yake itakuaje??? msishabikie ujinga...
 
wasikilize. kwa mfano kwenye wimbo;
1.dar-moro. kwenye friji vimiminika na makulaji..
2.nampenda yeye-sema nini unataka" chips kuku"
3.changanya mishikaki pilipili kwa mbali katika wimbo wa twende zetu. yaani wao kila nyimbo zao lazima waongelee misosi na vinywaji. ningekuwa nmetulia ningekuwekea kama nyimbo 20 za wasanii wa temeke. Mia

hasa huyu amani temba. menu sana..
 
wasikilize. kwa mfano kwenye wimbo;
1.dar-moro. kwenye friji vimiminika na makulaji..
2.nampenda yeye-sema nini unataka" chips kuku"
3.changanya mishikaki pilipili kwa mbali katika wimbo wa twende zetu. yaani wao kila nyimbo zao lazima waongelee misosi na vinywaji. ningekuwa nmetulia ningekuwekea kama nyimbo 20 za wasanii wa temeke. Mia

..mtoto wa busara kila siku anakula kwetu, tukianza kula wa kwanza kukwapua nyama, tukimkataza utasikia mamaaa, sasa kivumbi usiku..(nature)
..mtoto wa kishuaaa, kwao asubuhi chai ya maziwa, mkate na blueband (babu)
.. imepita miezi 6 nyumbani hazijagongwa yai... henheeeee (babu)
... si ulitataka chai, chai sasa iweje unalalamika unaungua.. (wanaume)
.. mtoto wa kishua kwao vyuisi, soft drinks.. (babu)
....tukikaa bar tunakunywaaaaa... asubuhi tukiamka hee! ile 200 iliyobaki jana si bora tukanunue vitumbua.. (KR)
 
Mi simshabikiii kwa lolote bcoz hajui kurap na wala hajui kupanga mistari,,,, ni hela za Fela ndo zinamfanya anatupigia kelele kwenye spika zetu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom