ZaBeast
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 777
- 331
Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.
Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?
Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka
Na kufix hizo bugs imefix nini?
Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?
Jina lako lina reflect personality yako. ..
Mkuu hongera saana, shida sisi wa Tanzania hatuna proffesionalism watu wanapenda kuchukua advantage ya wengine kutokufahamu..
Hii imeleta shida hata kufanya biashara kwa kampuni na biashara ambazo ni start upa coz waliotangulia walikhwa head fast on cheddar....
Bro @Chief-Mkwawa well said ubarikiwe sana kuwa na moyi huo wa kuhoji utata mbaya zaidi uliopresentiwa na mtu mwengine ambaye nayeye ni mtalaam..
Mleta mada nipo miongoni wa wasubiri majibu aliyouliza mkuu Mkwawa Mtwa..
Namasté