Tecno sasa inapokea Updates

Of course ina update ni yenyewe inakwambia kuwa kuna aupdate inaomba uruhusu na ina update na hata nami natumia hiyo maana zamani nlikuwa Mpumbavu nikiamini apple,samsung ndo simu za kujisifia. ila nikaelimika nikagundua nahitaji simu kulingana na matumizi yangu. so nikaakaa chini nikajiuliza simu ya iphone na sony ercsson au tecno wamepishana nini. nikagundua mostly hizi nyingine nanunulia jina tu lakini almostly functions muhimu ni zile zile.
so ni kweli ili update ikaleta android version 5.0.2 na nikaanza kupata internet yenye H+ na enjoy naweza fanya kila kitu anachofanya mwenye apple na huwa pia sometime nakuwa na samsung s4 ...
nikiwa natumia siono tofaut ... nimekuwa nikitumia simu toka mwaka 2003 kipindi kile tunanunua sim card tsh 30,000. so nazifahamu simu sana nikiwa na experience ya kutumia simu mbalimbali. nlikuja kugundua mambo mengine ni ulimbukeni tu na kutojiamini.
 
umeongea vizuri . simu ni matumizi ya mtu. mwingine ana mapenzi na simu mwingine ana mapenzi na laptop . mwingine ana mapenzi na tv au radio. so wewe unayependa simu usishangae mimi pesa yangu naenda nununu music wa mill 3 au nikanunua laptop mil na nusu wakati kwa hiyo pesa wewe ungenunua simu. so ni ulimbukeni sana kuponda alicho nacho mwenzio kwa kuwa hujui matumizi yake ni nini.
na pia ni ulimbukeni na watu wa huko nje wameligundua hilo so they do business sana kupitia ulimbukeni wa watu wengine. kuna jamaa huwa mpaka anachukua mkopo anunue simu ya mil1.7 ambayo mimi hapo ningejinunulia simu ya lak 5 tu basi au hata ya laki 4 hiyo nyingine pengine ningenunua kitu kingine.
so usije mwona mtu anatumia tecno,nokia au sijui simu gani ukamdharau mbona hizo samsung,apple zipo 2nd hand kwa bei nzuri tu ya kawaida na mtu akishika wala huwez ona tofaut ya aliyenunua mpya na aliyenunua 2nd hand? tusiwe wapuuzi kwa kiasi kikubwa sana.
binafsi nina uwezo wa kutumia apple na nimeshatumia na hata samsung s4 ninayo but guess what? mtu mmoja tu alininunulia kama zawadi na nikawamwambia kama angeniuliza aniletee nini toka dubai ningemwambia aniletee Music system au TV moja kali sana. alishangaa na kuniuliza sasa nikikununulia music nani atajua kuwa unao music wa gharama kubwa. nikamwambia mimi nikijua inatosha maana ni kwa ajili yangu si kwa ajili ya watu.
 
sababu za kutonunua tecno ni nyingi hiyo ya mediatek ni moja kati ya sababu zaidi ya 10.

nionyeshe sehemu yoyote duniani kuwa TECNO imepass test za radiation (SAR) na kwamba inafaa kwa matumizi ya binadamu
Mkuu tecno ni kwa matumizi ya kiumbe gani kama sio binadamu?
 
Chief Mkwawa ni simu gani nzuri naweza pata kwa tsh 300,000 _ 500,000 ?

Tafuta lg g2 kwa budget hio, utapata simu nzuri kushinda hata flagship ya tecno p5.

kuna jamaa anaziuza 350,000 jukwaa la matangazo ila am not sure kama ni mpya/zina quality nzuri.
 
Mi sijaisikia hio android 5.2, maana google hajaitoa, ilivyotoka 5.1 moja kwa moja watu wakaenda android M (marshamallow) aka android 6.

Muanzisha nada hebu tuambie hio android 5.2 ipoje?

Na update ya h na h+ hio Ni gimmick sababu kinachosuport aina Fulani ya network Ni modem ya simu (hardware) hivyo kusema umepata update ikaongeza h inatia mashaka

Na kufix hizo bugs imefix nini?

Kampuni isio na ofisi anaetuma hizo update Ni nani?
Habar chief,naomba msaada nimedownload apk ya game ambalo lipo cracked ila kila nikilifungua inaandika"no suitable application to open this file"....naomba msaada wako
 
Habar chief,naomba msaada nimedownload apk ya game ambalo lipo cracked ila kila nikilifungua inaandika"no suitable application to open this file"....naomba msaada wako

pengine ipo mfumo wa zip au rar nasimu yako haiwez fungua.

nenda store download es file explorer then fungua hilo game kwa kutumia es
 
es imetoa error gani?

unatakiwa ufungue es then uende folder la download then ufungue hio package ukiwa ndani ya es
Nimefany km ulivyonielkeza lkn cha ajabu baad ya kulfungua likaanza kujidownload tena na kuleta version ya kwny Playstore na sio ile cracked
 
Waungwana nina Samsung-S7500 haisaport Instagram sasa cjui tatizo ni mim kutokuwa na utaalam au uwezo wa simu yenyewe
 
Nimefany km ulivyonielkeza lkn cha ajabu baad ya kulfungua likaanza kujidownload tena na kuleta version ya kwny Playstore na sio ile cracked

ndani ya hilo file ulipofungua umekuta nini na nini? huwa kikawaida apps ambazo zipo cracked zinakuwa na apk na data zake.

1. unatakiwa uinstall hio apk
2. unatakiwa ucopy data ziende folder la android/obb

maelezo zaidi yatakuwa website uliodownloadia hilo file
 
Back
Top Bottom