TEC Ina nguvu duniani kote waraka wao usipuuzwe

Baada ya wiki sita ya kusmwa kwa waraka makanisani, Watanzania wengi watakuwa na uelewa mpana sana.

CCM itarajie ugumu kwenye kampeni zijazo. Kuendelea kuwabeza TEC hakusaidii kuzuia anguko
Wewe kwa hiyo sasa si ntageuka mkatoliki yaani bado mara 5 .anyway ntaenda
 
Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.

Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?

Au ni bomu limetegwa?
Kwani Bakwata haina nguvu?
 
Ushamba mzigo sana. Dunia ipi mnaiongelea? TEC ipi ina nguvu duniani?

Ndo mana tukiwaambiaga mtokege huko kwenye kuchunga ng'ombe mnatuona tunawadharau.

Tafuteni exposure.
Wewe ndie fala kwa sababu huelewi kwamba hao Maaskofu wa TEC sio hawa wa mitaani.
Hao ni wateule kutoka "Vatican city" ambako ndio makao makuu ya Roman Catholic Church.

Na huwa wanateuliwa kutika huko moja kwa moja na Papa.

Tunapoongelea TEC tunaongelea wakatoliki na mtandao wao Duniani kote

Leo hii TEC wakituma ujumbe iwe World Bank,IMF au kokote kule mpaka UN wanasikilizwa na kuaminiwa chap.

Hata serikali yako inalitambua hilo na nitakuwekea hii picha hapo chini ili ujue kwamba hata wao hukimnilua huko kubarikiwa
JamiiForums1315008447.jpg
JamiiForums681497641.jpg
 
Baada ya wiki sita ya kusmwa kwa waraka makanisani, Watanzania wengi watakuwa na uelewa mpana sana.

CCM itarajie ugumu kwenye kampeni zijazo. Kuendelea kuwabeza TEC hakusaidii kuzuia anguko
Nisaidie copy ya waraka wa TEC kama unao. Mine is misplaced
 
Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.

Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?

Au ni bomu limetegwa?
Wako backed na system . We unafkir waliovujisha mkataba ni kina nan. Hahaha... Usicheze na system ndugu. Watu hatar .. wanavosemaga system ya bongo ni bora africa ndo ujue sasa.. ukiona jambo linakua hiv ujue system imegoma
 
Mleta mada ni mjinga usiojua TEC ni nini. Haina hata nguvu ndani ya kanisa la Tanzania. Imeona haina mvuto ndio inaropoka bila akili. Kardinali Pengo aliwagomea mara nyingi tuuu.
 
Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.

Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?

Au ni bomu limetegwa?
Dunia ya leo haiendeshwi kama unavyofikiria. Hao wafadhili wapeleke misaada yao TEC.

Tusitishane kijinga.
 
Wako backed na system . We unafkir waliovujisha mkataba ni kina nan. Hahaha... Usicheze na system ndugu. Watu hatar .. wanavosemaga system ya bongo ni bora africa ndo ujue sasa.. ukiona jambo linakua hiv ujue system imegoma
Hakuna mkataba wowote uliovuja, tusidanganyane hapa.
Tanzania ya leo ni RRRR.
 
Ndivyo ulivyodanganywa kwenye kigango chako?

TEC wakusanyike pale Mwembe Yanga,halafu Mwamposa Mmoja awe Tamlnganyika Packers
Hata wakatoliki wataenda kwa Mwamposa.

Hapo sijamtaja Mwingila,sijamtaja Lusekelo,Sijawataja wachungajinwengine.
Halafu unakuja hapa na njaa zako kwamba TEC wana nguvu.
Hiv ushaona katolik wanafanya mihadhara.. mikutano.. kutoa pepo.. kutabiria watu.. matangazo redion.. promo had za kwenye tv... Wasafi...
Ila nenda jumapili ukatazame walivyojaa makanisan.. hakuna kelele... Na ni nchi nzima had vijijin..
Ndio ujue nguvu ya hao jamaa.. na nchi hii ushaskia mkristu nje ya ukatolik anaongoza kama rais(au unahis ni coincidence).. hahahha
Kaka.. haya mambo yaache tu kama huelew...
 
Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.

Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?

Au ni bomu limetegwa?
Kanisa Katoliki litabaki kama taasisi ya dini isiyo na mamlaka au madaraka ya kiserikali. Tusipotoshe maudhui yaliyomo kwenye Waraka wa TEC.

Hivyo basi, busara na hekima zitumike kujibu hoja zilizomo kwenye Waraka na si vinginevyo kama wankuru nyankuru unavyotaka tuamini.
 
Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.

Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?

Au ni bomu limetegwa?
Hiyo nguvu haitoki kwa Mungu bali kwa yule adui, wasikutishe kabisa
 
Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.

Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?

Au ni bomu limetegwa?
Wakioa tu akili zitawarudia.
 
Back
Top Bottom