....Hizo team zote zitaisha ndani ya six weeks...Nijuavyo mimi wazalendo huwa very ambitious na wana mbwembwe nyingi sana
....Lakini mkesha huwa unakikata kiherehere chote.Sifa morali na uvumilivu,mengine yote utaadapt huko huko
....Good luck
kumbe iko wilayan sio kg twn
nenda kafanye ka-muagano kabisaaa.
Nakusubir kwa hamu nikupe bakora zako..
Jkt kawaida sana anaekutisha muulize yeye aliwezaje??cha msingi fungua moyo usione kama ni adhabu ila we ona ni sehem ya mafunzo utainjoi sana...nyc depo
Kule hamna kujitia we mwanaume..jitie mwanaume wakulishe kaz mpaka akili zikurukeWanaume 2naxema kamb popote
Kwa kanembwa moyo haufunguki..mnaosema jkt ni kufungua moyo nyie mlpga koz kambi za kula kuku kila siku..nawaonea huruma nyie mnaoenda kanembwa 824 kikosi ch jesh..mana dah
mkuu we ulipiga jeshi mwaka gani? na kama ulipigia 824 kj why uliweza alafu utishe wengine
poa kamanda....kila la kheri mkuu
Atuambie maana anatutisha xaana
Atuambie maana anatutisha xaana