Team Kanembwa tukutane hapa

....Hizo team zote zitaisha ndani ya six weeks...Nijuavyo mimi wazalendo huwa very ambitious na wana mbwembwe nyingi sana

....Lakini mkesha huwa unakikata kiherehere chote.Sifa morali na uvumilivu,mengine yote utaadapt huko huko

....Good luck
 
Mkuu hapo,ndo sheedah,nikifikiria huo mkesha
 
Maisha yamekuwa rahisi sana enzi zetu hakuna kujadiliana hapa wala kusoma hali ya uwanja ni kwenda msitari Wa mbele kweli mko kidigital sana
 
Kanembwa kwa mkesha ndo mtakoma na hiv sio kpnd cha kulima..mtajuta...nenden muwasalimu maafande wangu...
 
Jkt kawaida sana anaekutisha muulize yeye aliwezaje??cha msingi fungua moyo usione kama ni adhabu ila we ona ni sehem ya mafunzo utainjoi sana...nyc depo
 
nenda kafanye ka-muagano kabisaaa.
Nakusubir kwa hamu nikupe bakora zako..
 
Jkt kawaida sana anaekutisha muulize yeye aliwezaje??cha msingi fungua moyo usione kama ni adhabu ila we ona ni sehem ya mafunzo utainjoi sana...nyc depo

Kwa kanembwa moyo haufunguki..mnaosema jkt ni kufungua moyo nyie mlpga koz kambi za kula kuku kila siku..nawaonea huruma nyie mnaoenda kanembwa 824 kikosi ch jesh..mana dah
 
mkuu we ulipiga jeshi mwaka gani? na kama ulipigia 824 kj why uliweza alafu utishe wengine
 
habar wana JF Vp wale jkt wa kujitolea waxhapangiwa vikosi na ni in wanarpoti na mafunzo yanaanza lin
 
Back
Top Bottom