choconorma
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 210
- 51
Tuliopangwa Kanembwa na yeyote mwenye uelewa wa JKT Kanembwa Kigoma atusaidie mazingira na hali kwa ujumla ya kambi ya Kanembwa
824KJ Kanembwa.
>usibebe vitu au nguo za thamani unaweza kuibiwa. usibebe nguo nyeupe hasa vest au under wear, zitafubaa maji sio safi.
>beba viatu/laba ngumu na soksi ndefu kabisa, usiku baridi.
>beba viwembe vingi hata 20 vya kunyolea nywele.
>beba dawa za maumivu au za kuchua kwa tahadhari tu.
>kuna vumbi sana,mafua na vikohozi ni kawaida sana so waweza beba asali kwa ajili ya koo,dawa nyingine kuna zahanati pale.
>usije jaribu kutoroka, ukiwa na shida ongea na maafande wako,pale kutoroka ni rahisi sana ila omba usikamatwe.
>ukiweza beba kijiko cha kulia msosi, watakushangaa ila ni kwa afya yako,ukinawa mikono haitakati na lile vumbi.
>mapera,mananasi,mapalachichi,machungwa,malimao yapo ila porini so ukiwa free mchana zama pori utavipata.
mengine utajua hukohuko. . kanembwa-nduta.
USISAHAU KUNYOA KIPARA MAPEMA
Okay ngoja ni wape lonja
<>Tambua ukifika cm utaikabidhi getini
<>Ucbebe mizigo mikubwa na mizito coz utabeba kichwan na ni km 5 had kufka kwenye kambi ya mazoez
<>Beba pocket money za kutosha
<>Beba tranka na kufuli imara
<>Na kama hutak kuchoka its beta ukachelewa kuripoti than kuwahi
<>Ucwe mtu wa kujaa upepo coz kuna maneno ya maudhi na karaha plus kuonewa
<>Kumbuka kusali unapopata nafasi mana hakuna muda wa kanisani wala msikitini
<>Anza kujipa mazoez nw hasa ya push up na kuruka uchura
<>Jali afya yako coz kule hamna wa kujal afya ya mwenzie
<>Ucbebe chakula chochote mana getini utanyanganywa
<>Ucbebe sahani wala kikombe mana mtapewa
<>Ucbebe camera hakuna kupga pcha kule na kwa manufaa yako beba simu ya tochi
<>Kama ni mgonjwa hasa wahaya magonjwa makubwa beba vyeti
<> Beba sabuni za kutosha na mafuta ya kutosha na dawa za mswaki.
<>Ubebe track za kutosha usiende na nguo nzur
<>Soksi beba za kutosha na kama unaweza beba hadi za kufanyia biashara
<>Jitahid ubebe raba imara hata pea tatu coz kule wanauza ghali mno
<>Ucbebe pafyum
<>Beba madaftari na peni..
Afta that welcome to 824KJ kanembwa.