Tcu

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Nimeambiwa TCU wametoa majina ya watu wanaopaswa kurudia kufanya/kurekebisha application zao. Ntayapata wapi hayo majina?
 
Mbona mnanishambulia hivyo? Aliyeniambia amesema alisikia kwenye kipindi cha magazeti redioni. Amesema ilitangazwa katika gazeti la mwananchi la jana tar 11. Sipo karibu na chanzo cha magazeti ndio maana nikaamua kuulizia huku kama kuna mwenye hizo data.
 
kwani kama umeweza kutumia intenet uko jf umeshindwaje kuingia kwenye WESITE YA TCU ACHA UVIVU !!!!!!!!!lazima watoe kwenye website yao.
 
kwani kama umeweza kutumia intenet uko jf umeshindwaje kuingia kwenye WESITE YA TCU ACHA UVIVU !!!!!!!!!lazima watoe kwenye website yao.

Jamani huko(TCU website) napita kila siku,hata mimi mwenyewe hizi taarifa sijaziona. Niliuliza kwasababu niliambiwa na kwenye tovuti yao sijaiona ndo maana nikauliza humu JF. Tafadhali usidhani kama mimi ni mvivu kama unavyodhani,kuuliza sio ujinga.
 
Back
Top Bottom